Pre GE2025 Prof. Mkumbo mitano tena Ubungo

Pre GE2025 Prof. Mkumbo mitano tena Ubungo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena?

CCM oyeeee!
 
Yes! Yes! Yes!! Read & vote if you are interested with.

Maamuzi ya mwisho yapo kwa wananchi wenyewe! Wao ndio wanajua nani anawafaha wa chama gani!

Mkileta mgombea ambaye hana sifa wanazohitaji watamtafuta sehemu Au katika chama kingine, na nikitu kizuri tu!
 
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena?

CCM oyeeee!
Mitano ipi hiyo, kwahiyo kwenye ahadi zake aliahidi barabara tu? Na kuna barabara nyingi tu ni mbovu, vipi kuhusu maji? Goba watu wana zaidi ya miezi 6 maji hayatoki kwenye mabomba
 
Back
Top Bottom