Pre GE2025 Prof. Mkumbo mitano tena Ubungo

Pre GE2025 Prof. Mkumbo mitano tena Ubungo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pumbavu kabisa, jimbo la ubungo na kibamba ni majimbo ya hovyo kabisa. Yaani wilaya ya ubungo hatutaki kuwaona wabunge wake, huyo Mchomvu ndio hamna kitu kabisa...
 
Pumbavu kabisa, jimbo la ubungu na kibamba ni majimbo ya hovyo kabisa. Yaani wilaya ya ubungo hatutaki kuwaona wabunge wake, huyo Mchomvu ndio hamna kitu kabisa...
Tuliza mshono. Tukutane Kwa wajumbe!
 
Msipomchagua mama atamteuwa kwa kazi nzuri anayoifanya katika wizara ya mipango.
Kazi gani?
Ameshabikia bandari kuuzwa as if kizazi chake hakitaishi Tanzania. He can not see beyond his nose.
Hivi Mkumbo alikua mwalimu kweli UDSM? Anyway sishangai sana maana hata Mkenda na Shukuru Kawabwa nasikia walishawahi kufundisha Udsm.
 
Nakuhakikishia ccm wakimuweka huyo hapati kura kajamaa tokea kapate uwaziri kamepotea kabisa.
mimi binafsi ni mkazi wa kimara simkubali kabisa kitila na akisimamishwa simpi kura yangu
Hatari sana
 
Nakuhakikishia ccm wakimuweka huyo hapati kura kajamaa tokea kapate uwaziri kamepotea kabisa.
mimi binafsi ni mkazi wa kimara simkubali kabisa kitila na akisimamishwa simpi kura yangu
Wewe ni mjinga ujitambui na sio mpiga kura.

Kitila sio mbunge wa Kimara.
 
Wewe ni mjinga ujitambui na sio mpiga kura.

Kitila sio mbunge wa Kimara.
Wewe hunijui wala sitaki nikujuwe .
Mimi ni mkazi wa kimara ambapo kwenye ubunge panatambulika kama jimbo la ubungo.
Wewe ndio utakuwa hujitambui.
Hakuna jimbo la ubunge linaloitwa kimara.
 
Back
Top Bottom