Prof. Mohamed Janabi Miongoni mwa Wagombea wa Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika

Wampe, sio tu kwa Heshima ya Marehemu Dr. Ndungulile, bali pia anaweza sana, na ni mtendaji halisi sio politician.
Labda hukusoma resumè ya Dr Ndugulile!! Kwanza yeye binafsi alikuwa anajitosheleza.

Aliji involve kabla na shughuli nyingi za WHO kama 6-7 years before. Kwa hiyo hata waliokuwa wanamuuza ki-diplomasia hawakuwa na ugumu.

Sasa huyu candidate wako utachukua zile clip zake za kukataza kula chapati ma magimbi ndiyo upeleke kwa wapiga kura wa WHO-Afro?
 
😀
 
Hii ni kweli 💯...
Kila siku anauzungumzia moyo kama kausomea vile kumbe kilaza fulani!
 
Mbona jina la Kasim Majaliwa limekatwa au alipomaliza chuo hakwenda VETA?
 
CV ya Prof Janabi imekaa vizuri kuliko washindani wake. Anayo nafasi kubwa kuwa mshindi wa nafasi husika huko WHO.
 
CV ya Prof Janabi imekaa vizuri kuliko washindani wake. Anayo nafasi kubwa kuwa mshindi wa nafasi husika huko WHO.
Unaifahamu basic educational requirement ya kazi ya Director-WHO AFRO?
 
Tunashauri wagombea wote wa nafasi hizi,Moja ya kigezo cha kufanya interview,kiwe, mgombea kupimwa afya yake na wapimwe na wataalam wa WHO.
Kabisa

Apimwe afya barabara huyo Profesa

Tanzania tusigeuze ofisi za WHO kama sehemu ya wadi ya wagonjwa

Profesa Janabi apimwe afya barabara

WHO wasisitize wagombea wote kupimwa afya zao na independent medical practitioners

Walio physically fit tu ndio wagombee kuepukq kurudia rudia chaguzi au mtu kutwa kushinda hospital kwa matibabu
 
CV ya Prof Janabi imekaa vizuri kuliko washindani wake. Anayo nafasi kubwa kuwa mshindi wa nafasi husika huko WHO.
Swala ni afya yake iko fit? Ndugulile pia CV yake ilikuwa vizuri lakini afya ilikuwa mgogoro
 
Kwa utaratibu huu,Janabi,atakwepa Interview
 
Aah hahahaaa !
 
Hakuna uchawa kule! Hatoboi
Uchawa upo Francaphone watamchagua kati ya nchi zinazozungumza kifarasa.
Pili wagombea wote wanatokea Africa Magharibi ni wazi nchi za West Africa zitapigia kurs kwa watu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…