Prof. Mohamed Janabi Miongoni mwa Wagombea wa Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika

Prof. Mohamed Janabi Miongoni mwa Wagombea wa Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika

Mpaka leo sijajua sababu za Prof Janabi kuwekewa ulinzi mzito kwenye msiba wa Hayati Magufuli
 
PROFESA Mohamed Janabi, jina lake limetangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika.

Prof. Janabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anawania kiti hicho pamoja na wenzake miongoni mwao kutoka nchi za Afrika Magharibi.

Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, limetoa taarifa hiyo. Majina ya wagombea hao ambayo yatafanyiwa mchakato wa Uchaguzi Mei 18, mwaka huu, yaliwasilishwa na Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus.

Soma Pia: Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

Nchi wanachama yaliwasilishwa majina hayo kwa kiongozi huyo, leo, Machi 14, 2025 huku nchi tano ikiwamo Tanzania na nyingine nne Ivory Coast; Togo; Niger na Guinea pia wakifanya hivyo.

Wagombea kutoka nchi zingine ni Dk. N'da Konan Michel Yao kutoka Ivory Coast; Dk. Dramé Mohammed Lamine (Guinea); Dk. Boureim Hama Sambo (Niger); na Pr Mijiyawa Moustafa wa Togo.
Wajumbe wanamjua lakini? Kama wanamjua wawe tayari kuambiwa washindie chai na karoti.
 
Afrika Magharibi vs EAC/ SADC.

Prof. Dr. Mohamned Janabi kwa mazingira ya kwake kushirikisha jamii kupata elimu endelevu ya kiafya, anastahili kukabidhiwa kijiti.

Shule kwa Umma ya Prof. Janabi anayotoa bila kuchoka, hata kama hukufika Muhimbili hospitali unafikiwa ulipo

View: https://m.youtube.com/watch?v=nkCE3D4hclI
Dr. Mohamed Janabi tofauti na wasomi wenzake wengine elimu yao imejaa choyo, ubanifu na kutoshirikisha jamii iwe eneo la afya, utibabu, sosholojia, uhandisi, ujenzi, siasa, sheria wamekuwa kama waganga wa kienyeji kwa kutoshirikisha jamii ujuzi waliopata kwa kodi za wananchi.



Candidates for the post of WHO Regional Director for Africa​

The names of the candidates for the election of the next Regional Director for World Health Organization African Region were sent by WHO Director-General Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus to the relevant Member States on 14 March 2025.
The candidates are:
Dr%20N%E2%80%99da%20Konan%20Michel%20Yao_0.jpg

Dr N'da Konan
Michel YAO,
Proposed by
Côte d'Ivoire


Note verbale:
EN | FR | PT
Curriculum vitae:
EN | FR | PT
Moh-Lamine.jpg

Dr Dramé Mohammed Lamine,
Proposed by
Guinea


Note verbale:
EN | FR | PT
Curriculum vitae:
EN | FR | PT
Dr%20Boureima%20Hama%20Sambo.jpg

Dr Boureima
Hama Sambo,
Proposed by
Niger


Note verbale:
EN | FR | PT
Curriculum vitae:
EN | FR | PT
JANABI.jpg

Pr Janabi Mohamed Yakub,
Proposed by
Tanzania


Note verbale:
EN | FR | PT
Curriculum vitae:
EN | FR | PT
Mijiyawa.jpg

Pr Mijiyawa
Moustafa,
Proposed by
Togo


Note verbale


Source : Candidate for the post of WHO Regional Director for Africa - 2025
 
Anaandika Zanzibar-ASP :-
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana kipi cha kielimu na kisayansi, na sasa imekuja kugundulika kuwa, kumbe mwamba hakuwahi kusomea udaktari bingwa wowote (Mmed) achilia mbali udaktari bingwa wa moyo (Cardiologist) na wala hana sifa zozote stahiki za kibingwa kutibu moyo.

Na kwa mifumo ya mamlaka za usimamizi wa fani ya utabibu hapa Tanzania (Medical Council of Tanganyika), daktari asiyekuwa na sifa za kibingwa za fani huzika haruhusiwi kutoa matibabu ya kibingwa moja kwa moja kwa mgonjwa, na kwa tafsiri ya moja kwa moja, Professor Janabi hakuwahi popote moja kwa moja kutibu kibingwa moyo, na kama aliwahi kufanya hivyo anastahili kushtakiwa kwenye baraza la madaktari kwa kutenda kosa la kimaadili katika fani ya udaktari.

Hapa chini nimeambanisha wasifu wa Professor Janabi wa kidaktari unaotambulika na mamlaka za usimamizi wa taaluma ya udaktari hapa Tanzania (MCT).

Mwisho kabisa, MCT wanatakiwa kutoa maelezo kwa umma, kwa hicho ulichowahi kusomea Professor Jababi (Masters of tropical health) ambacho hakina sifa yoyote ya udaktari bingwa wa moyo (maana mhitimu yoyote wa fani ya afya anaweza kusomea), kinampaje sifa mhusika kuwa daktari bingwa wa moyo?

NOTE:
Daktari bingwa mbombezi (kama daktari bingwa wa moyo) yoyote mwenye sifa stahiki za kutambulika na baraza la madaktari la Tanganyika (MCT) ni lazima utambulisho wake kwenye ukurasa rasmi wa MCT (Professional Profile status) usomeke SUPER SPECIALIST DOCTOR. Kwa Professor Janabi hakuna hicho kitu.


Cc imhotep , bagamoyo, DR Mambo Jambo

Uchawi huo, Prof. Janabi ni msomi wa kuigwa kwa mazingira ya Afrika ambapo ni Mahali Pasipo Na Daktari, Profesa anakufikia buree kwa kukupatia elimu afya / consultation ya kujikinga, kujikinga ni gharama nafuu kuliko kusubiri uumwe ukatibiwe.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Wokp7-cmxD4
Ray Suarez continues his series from Havana with a report on the Cuban health care system's emphasis on preventive medicine.
Madaktari wengine wanasubiri upate maradhi ili naye apate ulaji. Prof. Janabi anaamini kinga au kuzuia ni njia nzuri ya kukabiliana na magonjwa kwa kuwa ukiwa mgonjwa unapoteza muda, pesa na nguvu kazi. Modeli hii ya kuzuia magonjwa kwa kutoa elimu (preventive healthcare measures) hutumiwa Cuba, Ulaya, China, Marekani ya Kaskazini kwa uzuri mkubwa na kwa Afrika inamuhitaji msomi huyu atekeleze jukumu hili alilo na ujuzi mkubwa kivitendo.

PROFESA JANABI AKITOA DARASA BUREE KWA UMMA :

View: https://m.youtube.com/watch?v=HOTG-HOBrNg
 
Dr Boureima
Hama Sambo,
Proposed by
Niger

Kinga dhidi ya cholera kipindupindu Dr. Boureima Hama Sambo akiwa DR Congo

30 January 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=eq2puDxxAEU

L'Organisation mondiale de la Santé (OMS) se préoccupe de la détérioration de la situation humanitaire et sanitaire à Goma, en République démocratique du Congo. Bien avant cette récente escalade de la violence, la situation humanitaire dans les Kivus constituait déjà une urgence aiguë de santé. Et selon le Représentant de l’OMS en RDC, Dr. Boureima Hama Sambo, l’accentuation des affrontements est venue aggraver une situation qui était déjà très précaire dans une région où sévissent des maladies comme le mpox, le choléra et la rougeole.
 
Dr Dramé Mohammed Lamine,
Proposed by
Guinea

Kuzuia magonjwa ndiyo mpango mzima katika kuleta mguso katika afya imara za raia,

22 August 2019


View: https://m.youtube.com/watch?v=mXkue_V3PoY
Dr Mohamed Lamine Yansané, Senior Advisor to the Minister of Health in Guinea, stressed community-based health as the vehicle that drives preventive, curative and promotive care.
 
Kitakachomponza huyu ni affiliation yake na Watawala! Ukiangalia comments, Marehemu alipokelewa na watanzania Kwa ujumla wake sababu alikua na integrity ya kipekee! Hilo halina ubishi hata kidogo!
Sioni Lucas akimpigia kampeni sijajua kwanini mana anawajua watu wote sifa na sifu wao. Sioni Akienda kushinda kama na Mama Jenista ataemda pia kumnandi, akanza na on behalf of myself
Ni 50 50 , ballot zinatoka kwa wajumbe. Lobbying ya Tanzania ndio inaweza kumsadia. Changamoto nionayo ni kuna chemba 3 zilizokosa mbele ya Fau zimeingiza tena majina……..sasa kuna wengine hawafany makosa Mara 2

Pia Janabi hana Exposure…..
exposure yake imepikwa recently chap chap …..
 
Kidogo na mashaka

Kuna kamchezo alichezewa yule Rip

Ili haya yatokee

Mwenyenzi Mungu anisamehe
 
Back
Top Bottom