Prof. Mukandala adai CCM ina "wakati mgumu"!

Prof. Mukandala adai CCM ina "wakati mgumu"!

Duh,,,,, nadhani mode ipeleke kwenye udaku kama kweli haya maneno ni sahihi, maana!!!!!

Watu wanakubaliwa kutoa maoni, maana hawailipii VAT. Heading kuwa tofauti na kuambiwa kuwa more to come haina maana ni udaku.

Ila hakuna kodi kwa kutoa maoni
 
Watu wanakubaliwa kutoa maoni, maana hawailipii VAT. Heading kuwa tofauti na kuambiwa kuwa more to come haina maana ni udaku.

Ila hakuna kodi kwa kutoa maoni

Katika huo "udaku" Mukandara, akiwa pale Nkurumah Hall leo, mbele ya mabalozi, mawaziri, wabunge na viongozi wa vyama vya siasa alisema haya yafuatayo na mengine:

15 years of political pluralism have made a significant change in the country's configurations of power from power monopoly by single party and central state bureaucracy to a more decentralized and balanced distribution of power. In regard to the political parties, the ruling party CCM has faced stiffer challenges from the opposition during the past two years than at any other time in history. Although CCM has continued to enjoy substantial dominance in Parliament, apparent divisions in CCM rooted on the electoral groupings of the 2005 presidential race and party due to increased freedom within the party have given advantage to the thin opposition in Parliament.
 
Last edited:
Je ni yule aliyefanya utafiti kuwa JK anakubalika kuliko wagombea wengine?
Je ni yule ambaye ktk misafara ya kwanza ya JK kwenda Amerika alikuwemo?
Je ni yule ambaye alibatilisha tarehe ya uchaguzi wa Daruso UDSM kwa kuwa baadhi ya wanafunzi walionekana kutofautiana na sersa za sisiem?
It's nothing more than propaganda and declaration of filth pyschological battle b4 JK speech on Bunge.
 
Back
Top Bottom