Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee wewe ni mfuu, we ni hasara kwa taifa, inatakiwa upigwe risasi kwenye masaburi yakoduniani kote Rais anaiongoza katiba.
Moderator nahisi hii thread yangu iliunganishwa na kuondoa dhima ya maono yangu juu ya katiba ya Kenya.Katiba mpya haitaleta maendeleo kwa mtu bali uongozi thabiti wa kusimamia katiba iliyopo ndio chachu ya maendeleo.
Nikichukua mfano wa Kenya Katiba mpya haijaleta Ugali mezani mwa mwanakibera bali niliona vurugu zile zile za kisiasa kabla na baada ya katiba mpya.
Tusiwe kasuku wa kuimba umagharibi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA