The Interpreter
Member
- Mar 14, 2019
- 87
- 60
Asante sana Professor Assad kwa kusema ukweli. Nchi hii imeibiwa sana na genge la Magu.
Profesa mzima mnafiki na mwoga. Kwanini hukuyasema haya kabla ya Magufuli kuondoka uone.Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.
===
Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ninvitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.
Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.
Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary...
Ulitaka aseme ili apigwe risasi kama Lisu sio?Profesa mzima mnafiki na mwoga. Kwanini hukuyasema haya kabla ya Magufuli kuondoka uone.
Yaani inashtuwa kuona baadhi ya Comments zimevuka Mipaka, nina Uhakika Wazazi wake wakifariki hawezi kuwaita Mizoga, Wameoza, nk.True, tuwe na heshma na ubinadamu wake hata kama hatukukubaliana na baadhi ya approach zake
Ulitaka apige kelele,mbona ndugai Leo kamgeuka mwenda zake,au ulitaka aitiwe wasiojulikana?Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Nimemsikia Prof Assad ,Huyu inatakiwa arudishwe ili aendelee kulitumika taifa.
Amesema ATCL ivunjwe ,ndege ziuzwe maana hamna kitu wanafanya.
Mkataba wa bagamoyo uweke wazi watu wasome na kama kuna vitu vya kukubaliana vinaweza kurekebishwa ili mradi ujengwe.
Huyo jamaa yenu hasafishiki hata kwa dodoki la chuma. Alifanya uhuni mwingi sana ofisini.Huyu naye ni mbabaishaji tu. Kwanza, mkataba wa kibiashara sio document ambayo inapaswa kuwa kwenye public domain. Pili, Serikali inawajibika kwa Bunge, ambalo ndio chombo rasmi cha uwakilishi cha mlipakodi. Haiwezekani sisi watu mmoja mmoja tukataka kuisimamia Serikali. Itakuwa chaos kwa kwenda mbele!
Nyie mnaoita watu wanafiki msijitie wazimu kana kwamba hamkuwa mkijua ubabe na visasi vya hayati! Mnakera sana sababu consequences zilizokuwa zinawapata vihere here kama akina Lissu mliziona! Sasa mlitaka na CAG ajiitie ujuaji ili ang’olewe kucha bila ganzi au adhurike asiione tena familia yake???Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Tofautisha unafiki na Wisdom mbwa wewe! Unapoamua kukaa kimya kuepusha shari haimaanishi wewe huna nguvu za kupambana ila tu ni kwamba madhara ya kupambana ni makubwa kuliko ya kufunika kombe mwanaharamu apite!Namfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Auditor anafanyaga yasiomuhusu? Hivi unajua maana ya Government Auditing kweli wewe?Eti niliomba nyaraka nikanyimwa,
Itakua walishazifahamu tabia zake za kupenda kufanya yasiyomhusu ndio maana wakamnyima ,
Ingawa hajasema ni nyaraka zipi ili tujue kama alikua anastahili kupewa ama la.
Wewe competent mbona hujashika hio nafasi na division 4 yako ya kindeziVery incompetent CAG ndio maana wakamtimua anabaki kutafuta huruma tu kwenye media.
Wewe huna majukumuPorofesa anatafuta kick, alikuwa wapi siku zote hadi kashindwa kusema?
Acha kumjibu mtambo huyo! Yani mtu uingie kwenye kambi ya mamba ukitegemea watakuacha salama? Ni matumizi mazuri ya akili tu ndio yatakunasua kwenye mabalaaUlitaka apelekewe "moto" wa wasiojulikana?
Ile wiki ya sintofahamu yalifanyika mengi sanaProf Assad kuna jambo anatupa ishara hapa kuhusiana na hizo nyaraka kufichwa ikulu, kwa wenye akili wanaelewa ishara anayotoa.
Na pengine marehemu alishazichoma moto kitambo.
Natamani sana huyu jamaa apewe uspika baada ya yule ndeziHuyu Mzee atabaki na heshima yake milele. Mama anaweza kumpa shavu wakati wowote kuanzia sasa.
Jiwe yeye ameondoka kwa aibu na anasindikizwa kaburiki kwake na ufisadi, mauaji, uongo na utekaji. Hakika hana amani huko alipo.
Hahahahaha Assad ana misimamo af anajua anachokifanya per se!Assad hana mwanafunzi bwege kama wewe ,wewe ni kindele tu zaidi mwalimu wako ni prof alie okotwa jalalani