Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Ungekuwa una akili ungeishi kwa shemeji yako ww?? Hebu toa uharo wako hapaWqsimhefanya tendo la ndoa wangepunguza wajinga kama ninyi duniania . ndivyo alivyomaanisha
Eti niliomba nyaraka nikanyimwa,
Itakua walishazifahamu tabia zake za kupenda kufanya yasiyomhusu ndio maana wakamnyima ,
Ingawa hajasema ni nyaraka zipi ili tujue kama alikua anastahili kupewa ama la.
Wewe unamwonaje huyo? Badala ya kuwa CAG anaweza hata kuwa Mnyongaji Mkuu wa Serikali na akaifanya kazi vizuri tu!Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Si kukaa kimya ni mnafiki, fikiri kidogo kutoa kauli hizi mbele ya jiwe angekuwa hai?Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Hailalishi yeye kutokuongea, kwani alitokaje kwenye nafasi yake?Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Kama alikuwa mwl WAKO na hujamuelewa kwa hili dogo TU...NINA MASHAKA SANA NA KICHWA CHAKO...NAMUONEA HURUMA PROF KUWA NA ZERO BRAIN KAMA MWANAFUNZI WAKENamfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Wewr umemaliza hata LA SABA kweli ?
Au ndio stori za vijiwe vya bange, kuwa enzi za Kikwete watu wakipiga hela zikajaa mtaani.
Eti hata train hajapanda[emoji16][emoji16]aisee kweli sindano zinaumaKuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Pole ... Unafikiri wote kama wewe dada ako akiachika na wewe huna makaziUngekuwa una akili ungeishi kwa shemeji yako ww?? Hebu toa uharo wako hapa
Inasikitisha sana, halafu bado Kuna mijitu haioni umuhimu wa katiba yenye uwezo wa kumwajibisha raisMkuu, Jiwe akatunga na sheria za kumlinda spika na mwanasheria mkuu ili wakiondoka madarakani wasishitakiwe kwa kutumia madaraka vibaya.
Hakuwa mwl wako ila mataga ndo mwl wako. Mimi ni mwl wangu namkubali mwanzo mwisho....si mnafiki.Namfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Adolf Hitler na hata makaburu wa Afrika Kusini walifanya makubwa kuliko hayo unayoyataja lakini wanakumbukwa na kulaaniwa zaidi kwa ukatili na mauaji ya binadamu wenzao.Kwa hiyo wewe unaamini kuwa ufufuaji wa meli ziwa Victroria, ufufuaji wa ATCL, ufufuaji wa TRLC, ufufuaji wa meli za Ziwa Tanganyika, ujenzi wa meli mpya za Ziwa nyansa, ujenzi wa madaraja na barabara mbalimbali ndani ya nchi kwa kiwango cha lami na kusambaza umeme vijiji vyote Tanzania ni laana? Kwa lugha rahisi ni kuwa ulikuwa hupendi mambo hayo yafanyike?
History will tell iwapo Magufuli alikuwa ni kaburu au mbaguzi!Adolf Hitler na hata makaburu wa Afrika Kusini walifanya makubwa kuliko hayo unayoyataja lakini wanakumbukwa na kulaaniwa zaidi kwa ukatili na mauaji ya binadamu wenzao.
Kumbe prof Assad naye kafundisha mazwazwa?? Dah hii nchi tuna bahati mbaya sanaNamfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Nilisema katika uzi wangu mmoja kuwa haya mashambulizi dhidi ya JPM yako coordinated na kuna mtu nyuma anachezesha mchezo.Wale wale, ondoka usemwe, huyu ni wa tatu baada ya Kigwangala na Ndugai, so what ? Anafuta huruma kwa nani sasa,? Ikiwa 2+ years alikuwa kimya, namsihi mama samia awe makini sana na watu wa aina hii.
#kaziIendelee
Umemaliza...HIZI NI SIFA HALISI NA SIYO ZILE TUNAZOIMBIWA MTAANIHata kama amefariki lazima tuseme ili waliopo wajifunze
1. Alikuwa mtu mwenye roho mbaya, mshenzi, muuaji na aliyependa kuona watu wenye maendeleo au waliotofautiana nae wakiteseka sana. Mfano wa haya ni kwa vile walivyowafanyia Manji, Erick Kabendera, Ben saanane, Rwabaje, Mama yake Erick Kabendera, Mdude Nyangali, Zacharia na watu wengine wengi
2. Alikuwa mtu Mbinafsi sana, aliyependa sifa zote zirudi kwake. Alipenda kusifiwa, kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake. Hata kwenye hotuba zake alipenda kujionesha ni yeye zaidi na wala sio wenzake. Rejea hotuba alizokuwa akisema bila yeye miradi haitofanikiwa. Aliwapa vyeo bila aibu watu waliokuwa wakimsifu yeye binafsi. Mf. Katambi, Sabaya, kafulila, Mrema, Babu
3. Alikuwa mkabila na mbaguzi wa kikanda aliyetukuka. Kwenye awamu yake alijaza watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma na mapandikizi wenzake kutoka Rwanda na Burundi kwenye nafasi nyeti serikalini. Bashiru, Kakoko, Doto James na wengineo wengi ni mifano michache tu. Hawa watu walikuwa hawagusiki na waliweza kufanya lolote lile kwa jina lake na yeye hakusema lolote. Hawa watu waliweza hata kuwadharau waziwazi Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na wala hawakujali mfumo wa utendaji serikalini. Waliweza kupiga simu au kupita moja Kwa moja ikulu hadi kwa Magufuli bila kupita kwa waziri, waziri mkuu au hata Makamu wa Rais.
4. Kwa kujua kwake kuwa ni kweli aliharibu uchumi wa nchi kwa sera zake mbaya, aliwekeza sana kwenye propaganda za kujitangaza sana kupitia vyombo vya Habari ili kuwa brainwash watu wasiofikiri vizuri. Tv zote, magazeti, blogu na hata viongozi wa dini aliwatumia kumtangaza yeye muda wote na kumsifu yeye muda wote ili aonekane ni Bora kuliko wenzake. Ofisi za Taifa zilifanywa kutengeneza data za uongo ili aonekane anafanya vizuri kumbe nchi ilikuwa inaenda pabaya sana. Rejea taarifa aliyotoaga kuwa ATCL inapata faida ya bil 28.
5. Aliwadharau sana wenzake. Na alifanya kila jitihada wenzake waonekane watu wasiofaa ( hasa viongozi waliopita). Aliishi nao kiunafiki akiwatumia vijana wake Kama Msiba, Sabaya , Makonda na Aly Happi kuwatukana na kuwatisha ili aharibu taswira yao kwa jamii na ajitengeneze kuwa ni Bora kuliko wao.
6. Alianzisha mambo ili kuwakomoa watu waliokuwa tofauti nae. As Kofi niwemugizi, Aidan Eyakuze, Yusuph Manji ni wachache kwenye hii list, walianza kuhojiwa uraia, wakanyang’anywa passport na kupewa kesi mbalimbali ili kukomolewa kutokana na kutofautiana nae.
7. Kwa sera zake mbovu, aliharibu kwa kiasi kikubwa uchumi hivyo kupelekea kuwepo tatizo kubwa la ajira . Ili kujiokoa na Tatizo hili Kwa kuwapumbaza watanzania wajinga alianzisha utaratibu wa kujifanya kuwa karibu na Mama lishe na bodaboda huku akisema kuwa wanaruhusiwa kufanya Biashara popote pale. Alifanya hili Kwa sababu alijua kabisa kuwa ameharibu uchumi wa Tanzania na amesababisha watu wengi kukosa ajira. Kuepuka lawama akataka kuifanya nchi nzima kuwa nchi ya wachuuzi huku akiharibu mipango miji na kusababisha walipa kodi wapungue kwa kasi.
8. Kutokana na kuwa na sera mbovu za kiuchumi huku akiiba Mali za watanzania Kwa kigezo cha uzalendo, akiogopa kupinduliwa na jeshi na wasaidizi wake, aliamua kufuatilia maongezi ya wasaidizi wake wote akiwemo Makamu wa Raisi , Mawaziri na viongozi wa Ccm. Alikuwa hadi meseji zao anasoma na alivyo mshamba alikiri hadharani kuwa anafuatilia mawasiliano ya watu. Alianzisha pia utaratibu wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa nae popote pale anapokuwepo. Huu utaratibu ulikuja kuonekana katika awamu ya 5 tu maana Kwa awamu ya 1 hadi ya 4 haikuwai kutokea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na spika na Jaji mkuu kuambatana na Rais popote pale anapokuwa.
9. Alikuwa muuaji
Niliwai bishia watu wengi kwenye hili ila nilikuja kuthibitisha alipokuja tamka hadharani kuwa huwezi kuwa msaliti alafu uka survive na baada ya hotuba yake iyo Tundu Lissu alikuja kushambuliwa kwa Risasi 38 huku 16 zikiingia mwilini wake.
10. Alijiona ni Bora kuliko mtu yeyote yule na alitaka neno lake ndo liwe mwisho. Alisema hadharani kuwa hashauriki na kila mtu aliyekuwa akimshauri alimchukulia kama adui yake. Siku za mwisho za uhai wake alitofautiana na kupingana Hadi na viongozi wa dini wa kanisa katoliki ambao waliamua kushauri nchi kuchukua hatua tofauti dhidi ya corona.
Mungu fundi sana! Alale anapostahili mwendazake.
Mmmmh yakweli haya?aiseeeHivi eneo linapopaswa kujengwa Bagamoyo EPZA si tayari watu walilipwa hela za fidia???
Hazikaguliwi hizo au??? Hayamuhusu
Nimesikia kaongelea pia Kota za TRC Gerezani ziliuzwa kwa Mil 6 kila nyumba halafu miezi kadhaa baadae serikali ikanunua kwa Mil 260 kila nyumba(Nyumba zile zile)