Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Na siku zote nani alienda kumuuliza na leo kajipeleka kwenye vyombo vya habari ama vimemfuata!?
Ujajibu niliyokuuliza unauliza tena au wewe ndio unapenda kujibiwa? Uliza huyo porofesa wako na miradi ya kifisadi ya NSSF chini ya DAU kule kigamboni.

Heka moja kule kigamboni walikuwa wananunua kiasi gani
 
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga
Huo u professor alipewa na nani⁉️

Kwahiyo hajui kuwa kuna expenditures hazikaguliwi⁉️
 
Ujajibu niliyokuuliza unauliza tena au wewe ndio unapenda kujibiwa? Uliza huyo porofesa wako na miradi ya kifisadi ya NSSF chini ya DAU kule kigamboni.

Heka moja kule kigamboni walikuwa wananunua kiasi gani
Kwanini hili la ndege na mnunuzi ambayo hayakupitishwa wala kuidhinishwa mnakwepa kujibu na kuyaongelea na mtu akiyaongelea anaonekana katumwa?

Acheni watu wapumuwe, tusaidieni uwazi na ukweli halafu hiki si kipindi cha kubwabwaja ni data tu.

Mkuu naomba unisaidie report ya CAG kama unayo kwa Pdf

Ulisoma report ya CAG ya mwaka 2015/16 na 2016/17

Majibu yako yako humo,

Sasa tusaidie na hili la sasa ili tujue hela zetu ziliingiaje na kutumikaje
 
Mimi nilitarajia CAG angesema ndege ilikuwa inauzwa labda elfu kumi lakini ikanunuliwa kwa elfu 15 ili watu wapige 10 percent. Kama shida ni kufuata tu utaratibu wa manunuzi... tumsamhe tu maana alikuwa na muda mfupi sana kutekeleza ahadi zake. Asamehewe tu
 
Kama wasiojulika walifanya matukio ya wazi mbona humuwataji kwa majina ili kuisadia Serikali?,hivi unakuyakumbuka mauji ya albino na wachuna ngozi? Hayo matukio ni mabaya na yalileta gumzo duniani.Hawa wengine ulowataja huenda ni mambo ya kudhulumiana ktk biashara zao na unafiki ktk kazi zao.
 
Mkuu kama umejitahidi kuelewa na mwisho ukakomea hapo sina comment kwako

Naomba niendelee kusoma comments za wapenda uwazi na wenye kuruhusu akili kufikiri nje ya box
 
Huyu nae ni wale wale, busara ingemtuma kuendelea kukaa kimya angeendelea kuheshimika, sasa mbaya wake kaondoka ndio anapata kutoa yake ya moyoni?. Hawa maprofesa wote hovyo kabisa.
 
Profesa nae ameanza kujishushia heshima. Naona njaa imeanza kumuingia akilini Sasa ana jiposition ili mama amuone, amkumbuke kwenye Ufalme wake. Otherwise, amebaki Kubwabwaja tuu, anajipunguzia heshima. Mlioko karibu nae mwambieni awe mpole, Kichere ameshafunika Legacy yake. Kwa Sasa Kichere ndo CAG Bora, yeye akaendelee kulima Mboga mboga kisarawe na kula pension yake.
Hawa maprofesa wa Leo wanamatatizo makubwa, wamezoea kula kwenye siasa, taaluma zao zimewashinda, Sasa kutwa kujiposition ili walau wakumbukwe, warudishwe kwenye utukufu.
 
Angekuwepo, wasiojulikana wangepewa memo leo "mkiona IST nyekundu muimarize ni msariti huyo"
 
Kwamba wewe unaamini kuwa CAG aliyepo amepewa nyaraka hizo na Mh Samia baada ya Magufuli kufa, akazifanyia kazi na kabla hata ya siku 14 akamaliza taratibu zote za kiukaguzi na kuwasilisha ripoti kwa raisi?

Kwamba amekagua mahesabu ya miaka mitano kama alivyosema? Unadhani hiyo ripoti ndio ingesomwa mbele ya Jiwe? Kama ndio, kwanini uamini kuwa alinyimwa nyaraka Assad, kama sio, ina maana ripoti iliyopikwa kwaajili ya kusomwa mbele ya Jiwe iko wapi?
 
We Assad ulie tu. Umedanganywa na ZZK kwamba kazi yako ni mpaka ustaafu ukalewa ukasahau kusoma terms of reference za ajira yako yakakukuta yaliyokukuta. Pole sana . Nasikia wewe ni DVc chuo kikuu cha Kiislam. Majuto mjukuu yahe. Unataka kuwaaminisha kuwa CAG mpya alipewa hizo nyaraka ulizonyimwa wewe baada ya JPM kufariki. Ni juha tu atakubaliana na wewe. Katika kipindi kifupi hakifika hata mwezi ukaguzi ufanyike na ripoti zitoke kwa mirad mikubwa kama hiyo??
 
Alipaswa kujiuzuru immediately.

Kama umepewa kazi flani ufanye halafu ukanyimwa vitendea kazi, hapo utakua unafanya kazi gani? Unapaswa kuachana nayo haraka.

Sasa yeye hakujiuzuru halafu anakuja kulia lia hapa. Hizi ni chuki tu za kufumuzwa u cag.
Profesa anakuja kuongea wakati Bosi wake ameshafariki dunia. Unafiki ule ule tu.
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine

Ulisha fanya kazi jishini,polisi au serekalini unajua maana ya vyeo kuna mda unaweza kutulizwa kutokana na ngazi kwa vile hipo juu.dai katiba maana raisi kapewa madaraka makubwa ya mungu mtu
 
Tu endelea kupigwa siyo..
 
La kuuziana nyumba za NSSF vipi?
 
Kwa maana hiyo sina hata sifa za kutoa ushahidi mahakamani kama Kesi inaihusu Ofisi niliyo wahi kuifanyia Kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…