Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

October 3, 2019
- October 6 1961
Miaka 57 na siku 362

Huko kwenu huwa wanastaafu na miaka 58?

Darasa la tatu kwenda la nne mtihani wa hesabu ulipata ngapi?
Sheria inasema kuwa CAG atafanya kazi kwa mkataba wa miaka mitano, na kama Mamlaka inayofanya uteuzi ikiona anafaa kuendelea nanye atampatia mkataba mpya na akiona hapendezewi naye basi hatapewa mkataba mpya.
 
Kwa kifupi jamaa anajiona ana akili kuliko watanzania wote.
 
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake

Huyu mzee anazeeka vibaya
Unajiabisha, haya mambo ni makubwa kwako huna uwezo wa kuandika comment yoyote hapa. Nenda kahamasishe maVEO waendelee kukimbia ofisi na kukataa fomu za wapinzani, mambo ya sheria na sisi wazee wa praise & worship team hapa na wapi
 
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya

Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria na vifungu vya kisheria kuhusu uteuzi wangu, lakini hii termination imekuja bila hata barua ya kueleza chochote ama kufafanua kifungu chochote cha kisheria kuhusu termination yangu

Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote rasmi juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi''Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya

==========================================

No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!
So very sad, Maguzimaji is such a DEVIL!
 
Kwa kifupi jamaa anajiona ana akili kuliko watanzania wote.
'' Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria na vifungu vya kisheria kuhusu uteuzi wangu, lakini hii termination imekuja bila hata barua ya kueleza chochote ama kufafanua kifungu chochote cha kisheria kuhusu termination yangu'' 😛rof Mussa Assad
 
Unajiabisha, haya mambo ni makubwa kwako huna uwezo wa kuandika comment yoyote hapa. Nenda kahamasishe maVEO waendelee kukimbia ofisi na kukataa fomu za wapinzani, mambo ya sheria na sisi wazee wa praise & worship team hapa na wapi
Kuondolewa kwa Prof Assad kama CAG ni mkakati wa muda mrefu, jaribio la kwanza alifanya spika kisha akasema CAG akaombe msamaha kwa Raisi, Ili jambo limetutia aibu na pia kurudisha nyuma uwajibikaji, rushwa na ulinzi wa pesa za umma, tunapiga vipi vita rushwa?!
 
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake

Huyu mzee anazeeka vibaya
Hafadhali yeye amezeeka akiwa mzee ila umezeeka ukiwa kijana
 
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake

Huyu mzee anazeeka vibaya
Kuzeeka vibaya kuna husianaje mkuu?mbona kama ume panic hivi
 
Back
Top Bottom