Umri unaenda, hela kiduchu. Acha akavute mpunga wa kutosha, hata kama atadumu kwa mwaka mmoja, atakachovuna ni sawa na ambacho angekipata Yanga kwa miaka mitatu!Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nab.., huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
Nabi hakuwa wakuondoka now .....ilibidi tuendelee kumbrand na kumjengaAliposema yule jamaa jana mlimshambulia sana.
Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba afuate taratibu....
Nani alikuambia kwamba Nabi anakuwa happy zaidi kuchukua makombe kuliko kupata hela nyingi?Pesa zinaisha mkuu....and haziwezi buy happiness forever
Naye ana mahitaji piaBado alikuwa anahitajika mkuu
Kwenye makombe 29 Nabi kachangia mawili tuAmeshanusa harufu ya kipigo cha mbwa koko msimu ujaoo..akaona ya nini mie roho yanguuu...bora nisepe..huu ndo mwaka wa mwisho wa gongowazi kuchukua kikombe..
Nimesikia hayo 29 ni ya kubumbaKwenye makombe 29 Nabi kachangia mawili tu
Umesikia wapiNimesikia hayo 29 ni ya kubumba
kwa msemaji wa Azam FCUmesikia wapi