Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Yani aacche kwenda kwenye timu yenye pesa akalipwe vizuri ang'ang'anie kwenye timu inayo fanyiwa hisani na familia siku GSM akisema hakuna kunywa chai siku hiyo ni milo miwili
Lkn furaha ni kubwa Kwa wananchi
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Umetuwakilisha vizuri jinsi wabongo wengi tulivyo na roho mbaya ya kuombea watu wasifanikiwe...hongera
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Sasa angeendelea kuikuza CV yake hapa Bongo ili iweje hatimaye?
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Hujui mpira mkuu.

Kwa Hali ya timu zetu. Na mafanikio machache aliyoyapata, Nabi hakuwa na Jambo lolote la zaidi la ku offer pale Yanga. Alushsfiks mwisho.

Ameondoka akiwa bado ana heshima. Angebaki , msimu ujao hautabiriki kwake, timu zetu ndivyo zilivyo. Angeweza kuja kufukuzwa kwa aibu.

CV imepanda, na thamani yake imepanda pia, lazima aitumie fursa ya mkataba mpya kutengeneza hela.

Kumbuka kocha kufukuzwa Ni njia yao ya kutengeneza hela pia.

Hata Zidane aliipa RMadrid UEFA 2 na akaondoka, alushajua Hana maajabu zaidi.

Nabi si mjinga jinsi unadhani wewe.
 
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Hivi Shaban Nonda papii unamweka kundi gan?
Kama huyo ni wa mbali sana rejea simon msuva.
Aliondoka Yanga na kwenda kuchukua ndoo ya CAF champions league na waydad Casablanca.
Acheni roho mbaya kwa kuwanenea watu mabaya.
Mafanikio ya watu hayako utopolo pekee
 
Back
Top Bottom