Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Ameshanusa harufu ya kipigo cha mbwa koko msimu ujaoo..akaona ya nini mie roho yanguuu...bora nisepe..huu ndo mwaka wa mwisho wa gongowazi kuchukua kikombe..
Riport zinadai.....Yanga atachukua ubingwa Hadi mwaka 2030
 
Utopolo unaonekana unaumia sana vumilia tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawawezi umia ....timu ni taasisi
 
Angekuwa ni Baba yako kapata shavu sehemu mpunga kedekede ungemshauri Mzee baki hapa ukuze CV wakati mnakula ugali na sukari,Jinga sana wewe wenye akili wawili tu huko...
Kikubwa furaha ipo
 
Diara ,job na mayele bado wanamkataba hawaondoki

Nonda , msuva nk waliondoka na wakavuma sana kwahio ata Nabi anaweza kufanikiwa ni kocha mzuri
 
Ameshanusa harufu ya kipigo cha mbwa koko msimu ujaoo..akaona ya nini mie roho yanguuu...bora nisepe..huu ndo mwaka wa mwisho wa gongowazi kuchukua kikombe..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ibenge aje Jangwani, nataman hii ndoto yangu iwe mweli
 
Diara ,job na mayele bado wanamkataba hawaondoki

Nonda , msuva nk waliondoka na wakavuma sana kwahio ata Nabi anaweza kufanikiwa ni kocha mzuri
Wacongo wengi unaowaona wanacheza hapa ni wa mkopo. Mayele akitaka kuondoka, Yanga haitaambulia hata senti. Nonda alipoondoka, Yanga haikupata kitu.

Hao kina Job na Diarra hata kama wana mkataba, wanaweza vunja kama alivyofanya Nabi (au mfano mwingine mbaya Feisal). GSM hawezi kukataa ofa nzuri, wakereketwa mtapigwa tu sound ila biashara itafanyika.
 
Dalili za uchawi ni nyingi, ila hii uliyonayo mleta uzi dio DALILI KUU
 
Tumuombee heri katufanyia makubwa. Binafsi Kaizer ntaichukulia kama Yanga B hivyo ntaisapoti kwa ajili ya Nabi.
 
Diara ,job na mayele bado wanamkataba hawaondoki

Nonda , msuva nk waliondoka na wakavuma sana kwahio ata Nabi anaweza kufanikiwa ni kocha mzuri
Muda utaongea
 
Mayele anacheza Kwa mkopo????
 
Ukishakua shabiki wa kolo automatically unakua huna akili
Kwa hiyo hawana hizo akili unazowaambia watumie ,usiwape mzigo wasiouweza
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…