NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mpira uliochezwa na USM ALGER kwa mkapa siyo wakutisha sana nakuona kwamba Yanga ndiyo imefika mwisho.
NALIA NGWENA nitakubali Yanga umekosa kombe endapo nitaziona dakika tisini (90) zingine huko Algeria.
Coacher Nabi Sasa matumaini yapo mikononi mwako Kila nikikumbuka ulivyopindua meza kule Tunisia dhidi ya club africane nazidi kupata matumaini.
Miujiza ya Kuifunga Rivers United na Tp Mazembe kwao kwenye uwanja mgumu lakini akili yako ilinionesha wewe ni kocha wa Aina gani.
Kila nikikumbuka spirit ya wachezaji waliotetema pale kwa madiba Tena kwenye uwanja ambao marumo galants hawafungwi Sasa kwa Nini ushindwe kuwatoa machozi waarabu wa Algeria??
Kocha Nabi wanayanga tunaimani na wewe, NALIA NGWENA sitorudisha nyuma ndoto zangu za kuona kombe la shirikisho CAF kuwa ndani ya Tanzania.