Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Ila anaendelea kujitwalia makombe matatu yote mbele yenu Mbumbumbu kwa miaka miwili mfululizo 2022 & 2023 na Makolokolo mkitoka kapa, umeshindwaje kuficha upumbavu wako hata kwa akili za kuvukia barabara tu [emoji848][emoji1787]Hana ubig brain wowte amezoea makando kando mengi kutoka kwa opponets wake
Kwenye press alikuwa analia muda wa maandalizi ulikuwa mdogo sasa sisi tumsaidiaje na wiki nzima wanapakana unga avic town
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app