Prof. Ndalichako: Bwawa la Nyerere limekamilika lakini kuna Wananchi wana nguzo tu, umeme haujawafikia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof. Joyce Ndalichako, amehoji ni lini Serikali itakamilisha kazi ya kupeleka umeme katika maeneo ambayo nguzo zilichimbwa tangu mwaka 2025 lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea.

Ndalichako ameyasema hayo leo, Agosti 26, 2026, wakati akiuliza swali katika Wizara ya Nishati, kwenye Mkutano wa Nne wa Bunge, Kikao cha Kwanza.

Amesema wananchi wanatamani kupata umeme, akibainisha kuwa hali hiyo inashangaza zaidi kwa kuwa Serikali imekamilisha Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere, lakini baadhi ya maeneo bado hayajafikiwa na huduma hiyo.

Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere lenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 lilizinduliwa rasmi Agosti 22, 2026.
Pia soma ~ TANESCO, zipi faida za kuwa na bwawa kubwa la Umeme la Julius Nyerere (JHPP) ikiwa Unit 1 ya Umeme wateja wa T1 tunatozwa Sh 292?
 
Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof. Joyce Ndalichako, amehoji ni lini Serikali itakamilisha kazi ya kupeleka umeme katika maeneo ambayo nguzo zilichimbwa tangu mwaka 2025 lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea.

Ndalichako ameyasema hayo leo, Agosti 26, 2026, wakati akiuliza swali katika Wizara ya Nishati, kwenye Mkutano wa Nne wa Bunge, Kikao cha Kwanza.

Amesema wananchi wanatamani kupata umeme, akibainisha kuwa hali hiyo inashangaza zaidi kwa kuwa Serikali imekamilisha Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere, lakini baadhi ya maeneo bado hayajafikiwa na huduma hiyo.

Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere lenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 lilizinduliwa rasmi Agosti 22, 2026.

Hatapewa tena umakamu wa rais, ameharibu.
 
Duh pole ndalichako ..kwa kuhoji tu Hilo jambo jema kwa WANANCHI wako, basi safar ya kisiasa imefika mwisho...malizia ubunge tu muda wako ukiisha basi
 
Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof. Joyce Ndalichako, amehoji ni lini Serikali itakamilisha kazi ya kupeleka umeme katika maeneo ambayo nguzo zilichimbwa tangu mwaka 2025 lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea.

Ndalichako ameyasema hayo leo, Agosti 26, 2026, wakati akiuliza swali katika Wizara ya Nishati, kwenye Mkutano wa Nne wa Bunge, Kikao cha Kwanza.

Amesema wananchi wanatamani kupata umeme, akibainisha kuwa hali hiyo inashangaza zaidi kwa kuwa Serikali imekamilisha Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere, lakini baadhi ya maeneo bado hayajafikiwa na huduma hiyo.

Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere lenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 lilizinduliwa rasmi Agosti 22, 2026.

Bajaj ya kuleta bado haijanunuliwa.
 
Amesema wananchi wanatamani kupata umeme, akibainisha kuwa hali hiyo inashangaza zaidi kwa kuwa Serikali imekamilisha Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere, lakini baadhi ya maeneo bado hayajafikiwa na huduma hiyo.
Hizi ni kauli ambazo Mkulu hapendi kuzisikia hata kidogo, akisia hivi huko aliko atakasirika sana Malkia.

Ndalichako kazini kwake tayari kuna kazi., Sheria ya Meza inasema hupaswi kuongea wakati wa kula.

Tanzania bila rushwa, Haiwezekani.
 
Back
Top Bottom