Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo MwishimiwaHeshima sana wana jamvi.
Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member.
Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo.
Ngongo kwasasa Kizimkazi
🤣🤣🤣🤣Umeanza mbona kama unataka kunichongea wanipokonye uplatinum Bwashe.
We piga kimya ndio nimeshaula hivyo.Mwaka mpya na status mpya.
Sidhani unajua moderator wanatazama vitu vingi sana,kitu cha kwanza ni nyuzi zilizoenda shule,matusi hakuna,uchawa ndio huwezi kupata kabisa u Platinum.Vipi ukitumia pesa haiwezekani kupandishwa mpaka kuwa platinum member? Moderator
😂😂😂 - Ila Mkuu unavimba kiaina!!Sidhani unajua moderator wanatazama vitu vingi sana,kitu cha kwanza ni nyuzi zilizoenda shule,matusi hakuna,uchawa ndio huwezi kupata kabisa u Platinum.
Kuna yule chawa mkuu Lucas Mwashambwa atasubiri sana.
Prof wa kitu gani boss? Hatuwezi kudebate na mtu anayejiita Prof ambapo hatujui ni Profesa wa kitu gani? Kuwa Prof haitoshi kupatiwa heshima unayoomba.Heshima sana wana jamvi.
Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member.
Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo.
Ngongo kwasasa Kizimkazi