Prof Ngongo sasa ni Platinum Member

Prof Ngongo sasa ni Platinum Member

Hiyo unalipia unapewa Ila Kama wewe ni prof waambie wakupe tiki

Na vigezo vya kupewa tiki ni wao kujua majina yako halisi


Kwahiyo wewe Kama ni prof uchwara itajulikana.
 
Sidhani unajua moderator wanatazama vitu vingi sana,kitu cha kwanza ni nyuzi zilizoenda shule,matusi hakuna,uchawa ndio huwezi kupata kabisa u Platinum.
Kuna yule chawa mkuu Lucas Mwashambwa atasubiri sana.
Kuna member mmoja humu,sitaki kumtaja jina,hata yeye ni Platinum member ila yeye hua ana comment moja tu,kila uzi anaandika ''Ngoja waje kukupa muongozo''
 
Mi huwa hizi title nazifananisha na vyeo fulani,naomba kujua ni vigezo gani utumika kumpa member,kuanzia senior member,jf expert member nk
 
Heshima sana wana jamvi.

Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member.

Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo.

Ngongo kwasasa Kizimkazi
Usisahau kupitia card yako HQ
Holographic foil business card.jpeg
 
Back
Top Bottom