TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

Hapana Kaka yangu. Kufa kila mmoja atakufa ila wewe kwa neno la Mwenyezi Mungu hutakufa sasa wala karibuni.

Professor Mbilinyi, walipokufa wenzake ambao alifanya nao kqzi katika kuleta mabadiliko ya mifumo ya kifedha Serikalini, miongoni mwao akiwemo marehemu Kibona, yeye alisema, "watu wangu wa karibu wamefariki mapema, mimi nadhani Mungu ataniacha niishi nimalizie hata ile miaka walioiacha wenzangu". Professor Mbilinyi akaishi miaka zaidi ya 20 toka vifo vya wale mates wake, akafariki mwakajana. Waaziri Kibona kama nipo sahihi, nadhani alifariki mwaka 1998.
 
Hapana mkuu, Mayunga hawezi akatoka Mara! Hili jina ni la Kisukuma, na maana yake huenda wakati anazaliwa labda baba yake alikuwa ameondoka nyumbani kwa ajili ya kwenda kutafuta ridhiki mbali na familia!
 
Hapana mkuu, Mayunga hawezi akatoka Mara! Hili jina ni la Kisukuma, na maana yake huenda wakati anazaliwa labda baba yake alikuwa ameondoka nyumbani kwa ajili ya kwenda kutafuta ridhiki mbali na familia!
Masunga ni wasukuma, sasa Mayunga sijui ni wa wapi
 
Shikamoo mkuu
Sasa ni wakati wanaJF kufahamu umri wa baadhibya wakongwe.

Nitamshangaa siku moja nikimsikia mtu anatoa maneno ya hovyo, yaliyokosa hekima na staha kwa mze wwtu Jo Tsoxo.

Sote tumejua, huyu ni miongoni mwa wazee wetu hapa JF. Tufurahie na tupende kupata hekima zao kutokana na uzoefu wao mkubwa wa maisha.
 
Unatafuta matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…