Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hapana Kaka yangu. Kufa kila mmoja atakufa ila wewe kwa neno la Mwenyezi Mungu hutakufa sasa wala karibuni.So sad. On 20/12/2020 my classmate at Old Moshi sec 1970/71 form iv/vi passed away - Prof. Bakari Lembariti - MUHAS.
Leo college mate UDSM Prof. Mayunga Nkunya 1972 - 1975 tuliyekuwa naye hapo mlimani.
So sad. Najiandaa kuagana nanyi wana jf. Hii ndiyo reality.
Professor Mbilinyi, walipokufa wenzake ambao alifanya nao kqzi katika kuleta mabadiliko ya mifumo ya kifedha Serikalini, miongoni mwao akiwemo marehemu Kibona, yeye alisema, "watu wangu wa karibu wamefariki mapema, mimi nadhani Mungu ataniacha niishi nimalizie hata ile miaka walioiacha wenzangu". Professor Mbilinyi akaishi miaka zaidi ya 20 toka vifo vya wale mates wake, akafariki mwakajana. Waaziri Kibona kama nipo sahihi, nadhani alifariki mwaka 1998.