TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

Sasa ni wakati wanaJF kufahamu umri wa baadhibya wakongwe.

Nitamshangaa siku moja nikimsikia mtu anatoa maneno ya hovyo, yaliyokosa hekima na staha kwa mze wwtu Jo Tsoxo.

Sote tumejua, huyu ni miongoni mwa wazee wetu hapa JF. Tufurahie na tupende kupata hekima zao kutokana na uzoefu wao mkubwa wa maisha.
@Kichuguu
Retired
 
Masunga ni wasukuma, sasa Mayunga sijui ni wa wapi
Hata Mayunga mkuu ni Wasukuma, kama unamkumbuka jemadari mmoja wa vita ya Kagera anaitwa Silas Mayunga! Na hili jina linapatikana sana Busega, Bariadi (Ntuzu) na Tabora. Ila huyu Prof sasa amenichanganya na hayo majina ya Kiislam Usukumani enzi hizo walikuwa wa kubahatisha sana, labda kama ni wale Wasukuma/Wanyanwezi wa Zanzibar au Mnyamwezi wa Tabora!!
 
Hapana Kaka yangu. Kufa kila mmoja atakufa ila wewe kwa neno la Mwenyezi Mungu hutakufa sasa wala karibuni.

Professor Mbilinyi, walipokufa wenzake ambao alifanya nao kqzi katika kuleta mabadiliko ya mifumo ya kifedha Serikalini, miongoni mwao akiwemo marehemu Kibona, yeye alisema, "watu wangu wa karibu wamefariki mapema, mimi nadhani Mungu ataniacha niishi nimalizie hata ile miaka walioiacha wenzangu". Professor Mbilinyi akaishi miaka zaidi ya 20 toka vifo vya wale mates wake, akafariki mwakajana. Waaziri Kibona kama nipo sahihi, nadhani alifariki mwaka 1998.
Stephen Andendekisye Kibona nadhani alifariki kati ya 1993 na 1994.
 
Uko sahihi kabisa kabisa. Mayunga wa vita alikuwa msukuma, most likely na huyu ni msukuma. Amenifundisha chemistry miaka 3 bila kujua kuwa ana majina mengine haya ya kiislamu. Tulijua la Nkunya sana sana. nami nimejiuliza sana uislamu aliutoa wapi enzi hizo usukumani. basi atakuwa ni msukuma wa Tabora!
RIP alikuwa friendly sana kwa wanafunzi. alitaka tuijue chemistry..
Hata Mayunga mkuu ni Wasukuma, kama unamkumbuka jemadari mmoja wa vita ya Kagera anaitwa Silas Mayunga! Na hili jina linapatikana sana Busega, Bariadi (Ntuzu) na Tabora. Ila huyu Prof sasa amenichanganya na hayo majina ya Kiislam Usukumani enzi hizo walikuwa wa kubahatisha sana, labda kama ni wale Wasukuma/Wanyanwezi wa Zanzibar au Mnyamwezi wa Tabora!!
 
Huku kuna watu tunawavujia heshima, kumbe ni wazazi au wakubwa zetu sana
Aisee mtuheshimu. Huku jamvini tuko wazee wa heshima Sana. Hivyo vijana mpunguze maneno makali maana kuna Babu zenu humu. Mimi nina hakika ya kuwa na watoto na wajukuu humu.
 
Marahaba. I am almost 70 yrs!
Kuna baadhi ya watu, japo tunafurahia kutumia ID zilizofichika, lakini unatamani, tufahamiane. Wewe ni Kaka yangu. Mungu akujalie afya njema na maisha marefu yenye furaha, na amani tele.

Nina Kaka yangu mkubwa, sasa yupo 90, bado ana akili na hekima yake timilifu, alikuwa anaendesha gari, lakini tumemshauri tangu mwakajuzi asiendeshe, lakini bado anafuata ratiba yake ya tangu ujana ya kufanya mazoezi kila siku.

Kaka yangu mwingine ana 80, bado yupo very energetic. Alipata Covid 19 lakini akapona bila kupata complication yoyote. Hii Covid, inategemea sana nna ilivyokujia. Wakati Kaka yangu akipona Covid bila ya kuzidiwa, wala kulala hata siku moja kutokana na hayo mararhi, mtoto wa kakangu mwingine, mwenye 38, aliugua na kupata complication kubwa ya kupumua, akapoteza maisha. Kila Covid ikitamkwa, namkumbuka huyu mtoto wetu. Niishie hapa maana molyo wangu ni mzito sana. Namwba Mungu amjalie pumziko la milele maana jitihada na moyo wake wa kutaka kuwaokoa wengine, huenda ilichangie kuondoka kwake wakati huu.
 
Aisee mtuheshimu. Huku jamvini tuko wazee wa heshima Sana. Hivyo vijana mpunguze maneno makali maana kuna Babu zenu humu. Mimi nina hakika ya kuwa na watoto na wajukuu humu.
Heshima huanzia kuja chini.
Umewahi kuona mshana mlozi anatukanwa hovyo?
Anajiheshimu
 
Wagonjwa ni wengi mahospital mitungi haitoshi. Ndugu yangu alilazwa KCMC oxygen yake ikiwa Chini Sana ikapanda mpaka 80s wakamuondoa ili kusaidia wengine Ila akawa wodini. Kumbe kirusi kikaendelea kutafuna akazidiwa hapo hapo hospital na tumeshazika.
pole sana, 80 ilikuwa ndogo. at least ikiwa 95, then unamatumaini makubwa. Last week nilikuwa regency ndugu yangu alipofka 95 ikabidi aondoke wasaidiwe wengine. halafu mtu anatoka huko eti tumesali siku 3 corona imeisha....
 
Hata mimi sikuwahi kujua! Siku zote alikuwa anaandika Mayunga H. H. Nkunya!
RIP Prof.
Inawezekana alikuwa muumini wa taaluma yake zaidi na pia jumuiya ya waaalimu wenzake kuliko hiyo HH, kuhudhuria midahalo nje ya offisi
 
Kuna baadhi ya watu, japo tunafurahia kutumia ID zilizofichika, lakini unatamani, tufahamiane. Wewe ni Kaka yangu. Mungu akujalie afya njema na maisha marefu yenye furaha, na amani tele.

Nina Kaka yangu mkubwa, sasa yupo 90, bado ana akili na hekima yake timilifu, alikuwa anaendesha gari, lakini tumemshauri tangu mwakajuzi asiendeshe, lakini bado anafuata ratiba yake ya tangu ujana ya kufanya mazoezi kila siku.

Kaka yangu mwingine ana 80, bado yupo very energetic. Alipata Covid 19 lakini akapona bila kupata complication yoyote. Hii Covid, inategemea sana nna ilivyokujia. Wakati Kaka yangu akipona Covid bila ya kuzidiwa, wala kulala hata siku moja kutokana na hayo mararhi, mtoto wa kakangu mwingine, mwenye 38, aliugua na kupata complication kubwa ya kupumua, akapoteza maisha. Kila Covid ikitamkwa, namkumbuka huyu mtoto wetu. Niishie hapa maana molyo wangu ni mzito sana. Namwba Mungu amjalie pumziko la milele maana jitihada na moyo wake wa kutaka kuwaokoa wengine, huenda ilichangie kuondoka kwake wakati huu.
Pole sana ndugu yangu. Corona ina manifestations nyingi and course of infection. Nimeumwa corona february to March, for a month. I was very devastated na corona. Sikulazwa lkn ni kwa vile nilkuwa na usaidizi wa daktari nyumbani, wife and daughter. Niliwahi treatment maana hao mke na mtoto waliona dalili wakasema hizi ni za wagonjwa wetu, una corona. Nikaanza matibabu. Iliniendesha lkn nashukuru nilipona. Homa ilikuwa inapanda mpaka 40 celcius. Terrible. Juz nilikuwa regency na kaka yangu, It was also terrible. Thank God amepona!
Basi pole sana kumpoteza mtoto wenu.
 
Asante ndugu yangu.

Ni jambo jema na la kumshukuru Mungu, wewe na Kaka yako nyote mmepona. Mwenyezi Mungu azidi kuwajalia afya njema.
 
Wagonjwa ni wengi mahospital mitungi haitoshi. Ndugu yangu alilazwa KCMC oxygen yake ikiwa Chini Sana ikapanda mpaka 80s wakamuondoa ili kusaidia wengine Ila akawa wodini. Kumbe kirusi kikaendelea kutafuna akazidiwa hapo hapo hospital na tumeshazika.
Loh! Inasikitisha sana. Pole sana kwa msiba wa huyo ndugu yako.
 
Poleni. Kama hivyo hali ni mbaya. 80% bado anakuwa anahitaji oxygen. Kama alinyang'anywa basi hao wengine walikuwa na 60%. Madaktari ktk mazingira haya wana choice ngumu zana za kufanya. Unajua kabisa 80 bado anahitaji oxgen lakini unalazimika kuitoa ili umpe mwingine!!

Back
Top Bottom