Utadhani misaada ndio tunaanza kupokea leo, unakuta jitu kama hili limesoma huko na kukaa na familia yake zaidi ya miaka kumi now anakuja na simple logics,
Africa tuna shida lkn kipindi hiki TZ tumezidi.
Huu ni upumbavu. Kwani barakoa zinashuka kama mvua? Nchi inayoshindwa hata kuzipima barakoa kama ni salama na ikaruhusu ziuzwe kwa RAIA wake, basi hiyo nchi ni utopolo. Rais kukiri hadharani kuwepo kwa barakoa hatarishi madukani ni kuidhalilisha nchi na vyombo vyake vya usalama.Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona...
anazo akili, sema anajipendekeza tu...umesahau awamu hii figisu wanazofanyiwa wakosoaji?!.Huyo prof hana akili
Baadhi ya Wasomi wa Tanzania ni wajinga Na wapumbavuDaktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.
Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo TBS na TFDA kazi yao nini hadi barakoa zenye virusi ziingie nchini?Rais Yuko sahihi kwa hili namuunga mkono acha wapiga zumari waendelee kuchajmnganyikiwa
Ni kweli,Ila mtu atakuwa na Nia ovu kwa nchi hii kwa sababu gani kwa mfano?Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.
Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Professor maprosoo!!Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.
Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli Mkuu Hana namnaUnatarajia ajibu vipi wakati bado mwajiriwa wa serikali hawezi kuwa na maoni tofauti na mwajiri wake ?
wataalamu wanakwambia kuwa virus vya corona vinahimili kukaa masaa 48 kwenye nguo, masaaa 72 kwenye chuma (tuongeze iwe wiki moja). Sasa swali la kumuuliza profesa, toka siku virusi vnawekwa kwenye barakoa, packaging inafanyika, utaratibu wa kuzipakia kwenye meli unafanyika, zinasafirishwa kwa njia ya meli, zinafika bandarini utaratibu unafanyika wa clearance. zinasambazwa mikoani. je, muda wote huo ni chini ya wiki moja hadi zifikie mteja zikiwa na Corona?Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.
Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Nimeongelea IN GENERAL,Kwa mfano virus vya ukimwi haviwezi kupandikizwa Kwenye condom?Virus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.
Huyu Prof ni wa kupuuzwa. Anachofanya jpm no justification na kulinda msimamo wake asionekane ni boya. Siyo kwamba ana huuruma na raia ila serikali haina hela ya kutibu wagonjwa. Lini jpm akawa na huruma na wagonjwa. Mbona akina Ben saanane, azory gwanda amewachapia risasi pale magogoni. Mbona lisu alimuwashavrisasi 32. Huruma gani hiyo!Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.
Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Kama Safari?Professor maprosoo!!
Wewe bado uko kwenye Covid 19?!Hivyo virus vya kusurvive kwenye mask zaidi ya wiki .Basi kazi ipo. Maana mask hadi itoke huko China ifike Tanzania. Huyo Corona anasurvive tu. Tutumie na akili basi.
Unazungumzia mlipuko wa kwanza?........ Yaani Covid 19?wataalamu wanakwambia kuwa virus vya corona vinahimili kukaa masaa 48 kwenye nguo, masaaa 72 kwenye chuma (tuongeze iwe wiki moja). Sasa swali la kumuuliza profesa, toka siku virusi vnawekwa kwenye barakoa, packaging inafanyika, utaratibu wa kuzipakia kwenye meli unafanyika, zinasafirishwa kwa njia ya meli, zinafika bandarini utaratibu unafanyika wa clearance. zinasambazwa mikoani. je, muda wote huo ni chini ya wiki moja hadi zifikie mteja zikiwa na Corona?