Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

Ujinga ujinga kila mahali kuanzia mitaa ya magogoni. Imagine hali hii ikiendelea mpaka 2025 au 2030! Maskini Nchi yetu!
Utadhani misaada ndio tunaanza kupokea leo, unakuta jitu kama hili limesoma huko na kukaa na familia yake zaidi ya miaka kumi now anakuja na simple logics,

Africa tuna shida lkn kipindi hiki TZ tumezidi.
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona...
Huu ni upumbavu. Kwani barakoa zinashuka kama mvua? Nchi inayoshindwa hata kuzipima barakoa kama ni salama na ikaruhusu ziuzwe kwa RAIA wake, basi hiyo nchi ni utopolo. Rais kukiri hadharani kuwepo kwa barakoa hatarishi madukani ni kuidhalilisha nchi na vyombo vyake vya usalama.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hana tofauti na wale wanaosema eti wazungu wanatuua kupitia mionzi ya simu lakini hatujawahi kuambiwa tuache kutumia simu
 
Hivyo virus vya kusurvive kwenye mask zaidi ya wiki .Basi kazi ipo. Maana mask hadi itoke huko China ifike Tanzania. Huyo Corona anasurvive tu. Tutumie na akili basi.
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.

Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.

Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Baadhi ya Wasomi wa Tanzania ni wajinga Na wapumbavu
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.

Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.

Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli,Ila mtu atakuwa na Nia ovu kwa nchi hii kwa sababu gani kwa mfano?
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.

Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.

Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Professor maprosoo!!
 
wataalamu wanakwambia kuwa virus vya corona vinahimili kukaa masaa 48 kwenye nguo, masaaa 72 kwenye chuma (tuongeze iwe wiki moja). Sasa swali la kumuuliza profesa, toka siku virusi vnawekwa kwenye barakoa, packaging inafanyika, utaratibu wa kuzipakia kwenye meli unafanyika, zinasafirishwa kwa njia ya meli, zinafika bandarini utaratibu unafanyika wa clearance. zinasambazwa mikoani. je, muda wote huo ni chini ya wiki moja hadi zifikie mteja zikiwa na Corona?
 
Virus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.
Nimeongelea IN GENERAL,Kwa mfano virus vya ukimwi haviwezi kupandikizwa Kwenye condom?
Au dawa za ARV haziwezi kupandikizwa virus?
Hii dunia hawezi kumwepuka mzungu hata sikumoja
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.

Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.

Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Huyu Prof ni wa kupuuzwa. Anachofanya jpm no justification na kulinda msimamo wake asionekane ni boya. Siyo kwamba ana huuruma na raia ila serikali haina hela ya kutibu wagonjwa. Lini jpm akawa na huruma na wagonjwa. Mbona akina Ben saanane, azory gwanda amewachapia risasi pale magogoni. Mbona lisu alimuwashavrisasi 32. Huruma gani hiyo!
 
Hivyo virus vya kusurvive kwenye mask zaidi ya wiki .Basi kazi ipo. Maana mask hadi itoke huko China ifike Tanzania. Huyo Corona anasurvive tu. Tutumie na akili basi.
Wewe bado uko kwenye Covid 19?!

Virusi vimeshajibadirisha!
 
wataalamu wanakwambia kuwa virus vya corona vinahimili kukaa masaa 48 kwenye nguo, masaaa 72 kwenye chuma (tuongeze iwe wiki moja). Sasa swali la kumuuliza profesa, toka siku virusi vnawekwa kwenye barakoa, packaging inafanyika, utaratibu wa kuzipakia kwenye meli unafanyika, zinasafirishwa kwa njia ya meli, zinafika bandarini utaratibu unafanyika wa clearance. zinasambazwa mikoani. je, muda wote huo ni chini ya wiki moja hadi zifikie mteja zikiwa na Corona?
Unazungumzia mlipuko wa kwanza?........ Yaani Covid 19?
 
Back
Top Bottom