Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

johnthebaptist Hivi una uhakika huyu Nyagori Ni Profesa kweli? Kama ni Profesa kasoma Chuo gani na Nani alimtunuku huyo U-Profesa?

Anyway ana Uhuru wa kutoa maoni yake lakini mwisho wa siku ANADHALILISHA taaluma na Taasisi aliyosomea kwa sababu ya NJAA yake
 
Profesa akiendekeza njaa ni hatari kwa Taifa na hasa wanafunzi wake!
 
Salim Kikeke alimtambulisha kama Prof Nyagori!
 
Siku moja ina masaa mangapi vile?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana PhD eti,
Kuwa na phd sio kitu ni makalataisi tu yale Mungu ametupa akili na maalifa, afu mimi nakushanga unampinga baba ako wakati yeye ndo anajua sili ya nyumba yake
 
Maprofesa wenzenu wa Johnson and Johnson hapo Port Elizabeth wanaumiza kichwa kupambana na hicho kirusi kwa kupata chanjo sahihi ninyi bongo mpo kusifia wanasiasa sijui huwa mnatumia miguu kufikiri na sio kichwa...
 
Virus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.
Sumu sio lazima isambazwe kwa kutumia hewa wanaweza kutumia mbolea,chakula mbegu za mahindi nyingi tunaagiza nje sema mnaamua kutoshirikisha ubongo wenu vizuri...
 
Sasa barakoa zinazoaminika ni zipi na zisizoaminika ni zipi...?!!
 
Na mimi namuunga mkono kwa kutetea kibarua chake vizuri. Hapo angesema tofauti tu leo angekuwa hana kazi. Hakuna kiongozi yeyote serikalini atakwenda kinyume na Malaika toka Chattle. Labda kama hujipendi na hupendi kazi na familia yako
 
Hizi mada zinaletwa kwa kiwango cha chini sana….Kusema tu hivyo yeyote anaweza kusema kwa maana haina any scientific proof...KEY ISSUE ni kuwa kama ndivyo hivyo nani wa kuwalinda hao wananzengo na hizo zinazosemwa zina virus??? Ni nani mwenye jukumu la kuupima mzigo unaoingia na kuhakiki kisayansi au kitaalamu kama zina virus ili zirudishwe zilikotoka...Mwananzengo anajuaje hii ni nzima na hii ni mbovu???Hili ndilo linatakiwa kufanyika na naamini vyombo na wataalamu wa kufanya hivyo wapo...Ukisema tu THEN WHAT???UNAWAACHA WATU DILLEMA....Hawatavaa chochote….watachanganyikiwa tu
 
Huyu Professor hospitali yake pale Morogoro ilifungiwa na NHIF. Nilisikitika sana, though sina uhakika kama imeshafunguliwa au bado.
Una uhakika NHIF ina mamlaka ya kufunga hospitali?
Ujanja mwingi mbele kiza.
 
Hajasema wazungu bali magaidi kama wale Al Shabah ambao sasa hivi tunapambana nao huko Musumbiji na kusini ya Tanzania.
Magaidi wa msumbuji ndo wanatoa barakoa toka uingereza na marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…