Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
johnthebaptist Hivi una uhakika huyu Nyagori Ni Profesa kweli? Kama ni Profesa kasoma Chuo gani na Nani alimtunuku huyo U-Profesa?Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.
Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Anyway ana Uhuru wa kutoa maoni yake lakini mwisho wa siku ANADHALILISHA taaluma na Taasisi aliyosomea kwa sababu ya NJAA yake