Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

Kwenye condom na ARV vipi? Mabeberu hawawezi kuweka virus? Huyu professor Hana tofauti gani na darasa la Sana?
shida ni kwamba hujaamua kujielimisha tu,kajifunze kuhusu hivyo vitu kwa undani ndio utajua hujui.
 
Profesa amesomeka vizuri sana. Ni muhimu tukalizingatia hilo.
Ni maprofesa waliosoma zamani walipandikizwa chuki shuleni zamani zile vitabu vya Kirusi na kijamaa vikisambazwa mashuleni na vyuoni lengo ni kutengeneza bomu la sumu kuathiri mtazamo wa fikra za watu waelekee mlengo wautakao watawala.Walipandikizwa vitu kama ukoloni mambo leo, mabeberu,chuki dhidi ya wazungu.
Akili ya kawaida tu contena ukaa majini mwezi au miwili hivyo virusi viwe vimekaa tu,pili shida zetu tu kifo tosha tatu kipi wamekosa afrika hadi watuue ndipo wakipate,hali wasiponunua chochote toka kwetu tunakufa njaa.
Hawa watu waliosoma zamani aifai kabisa kupewa ruhusa ya kuipandikiza sumu kizazi cha sasa.Eti umasikini wetu chanzo sijui ukoloni,sijui mabeberu,mara vita afrika wazungu wanatuchonganisha idea za kuhalalisha udumavu wa fikra kabisa hizi.
 
Mhu! Tutasikia mengi sana, mpaka nyoka atatoka pangoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…