Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Wanaweza wakazinunua kutoka huko halafu wakaziwekea corona na kuziingiza nchini kwetu.Magaidi wa msumbuji ndo wanatoa barakoa toka uingereza na marekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweza wakazinunua kutoka huko halafu wakaziwekea corona na kuziingiza nchini kwetu.Magaidi wa msumbuji ndo wanatoa barakoa toka uingereza na marekani?
kachukue akili ulikopelekaWanaweza wakazinunua kutoka huko halafu wakaziwekea corona na kuziingiza nchini kwetu.
shida ni kwamba hujaamua kujielimisha tu,kajifunze kuhusu hivyo vitu kwa undani ndio utajua hujui.Kwenye condom na ARV vipi? Mabeberu hawawezi kuweka virus? Huyu professor Hana tofauti gani na darasa la Sana?
Ni maprofesa waliosoma zamani walipandikizwa chuki shuleni zamani zile vitabu vya Kirusi na kijamaa vikisambazwa mashuleni na vyuoni lengo ni kutengeneza bomu la sumu kuathiri mtazamo wa fikra za watu waelekee mlengo wautakao watawala.Walipandikizwa vitu kama ukoloni mambo leo, mabeberu,chuki dhidi ya wazungu.Profesa amesomeka vizuri sana. Ni muhimu tukalizingatia hilo.
Mhu! Tutasikia mengi sana, mpaka nyoka atatoka pangoni.Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya kulinda raia wake lazima atakuwa makini sana kwenye vitu kama barakoa hivyo Rais Magufuli yuko sahihi kabisa.
Suala ni kwamba watu wavae barakoa zinazoaminika, amesema.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!