ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 631
- 1,577
Mgombea uwakilishi jimbo la Pandani kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Prof; Omar Fakih Hamad, ameibuka mshindi baada ya kupata kura 2361 dhidi ya kura 1934 alizopata mgombea wa CCM kwenye uchaguzi mdogo katika Jimbo hilo.
Jimbo la Mpandani limefanya Uchaguzi wa Mwakilishi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwakilishi Mteule wa Jimbo hilo Abubakar Khamis Bakari kupitia Chama cha ACT Wazalendo kufariki dunia, usiku wa kuamkia Novemba 11, 2020.