Zanzibar 2020 Prof. Omari Fakih Hamad ashinda Jimbo la Pandani, Zanzibar

Zanzibar 2020 Prof. Omari Fakih Hamad ashinda Jimbo la Pandani, Zanzibar

Kiasi washinde ,maana Juma Duni au Bob Juma alikuwa akizunguka na kutazama kila kona kuliko usalama wa taifa. Yaani ile nafasi ya usimamizi na ulinzi wa eneo nao pia aliivaa ,ukipita katika anga zake anakuuliza unaenda wapi,halafu tusisahau CCM haijawahi kushinda Pemba,hawaitaki hata kuiona na ukiongezea kupotea kwa mashee wa uamsho ndio kabisa.
Well said
 
Alikuwa anatafuta kiki tu. Ndugu zake wangapi wamefariki hajakufuru iwe kwa mtu anayemsikia?
Alivuta bangi nyingi sana siku hiyo
Kuna watu wanaomboleza hadi wanakufuru.Muumba fundi anakusudi lake tuyapokee maisha yasonge.
 
Unaweza kutueleza sababu Jokakuu? Alikuwa mtu wako wa karibu?

..hakuwa mtu wangu wa karibu.

..ila nilianza kumfuatilia wakati wa Bunge Maalum la Katiba.

..baada ya hapo nikagundua mchango wake mkubwa ktk harakati za demokrasia na siasa za Znz.

..kabla ya uchaguzi wa 2020 nilitamani Cdm na Act washirikiane, Aboubakar Khamis Bakari awe mgombea mwenza wa Tundu Lissu.

..Kifo chake kimenisikitisha sana.

NB.

..Mh.Aboubakar alituchekesha wengi alipompiga dongo Mh.Ole Sendeka wakati wa bunge maalum la katiba.
 
Huyu bwana ndiye wakati fulani alikuwa Attoney General wa Zanzibar? Kama ni yeye aligraduate LL.B pale UDSM mwaka mmoja na marehemu Maalim Seif na Babu Duni. [1975]!!!
 
Huyu bwana ndiye wakati fulani alikuwa Attoney General wa Zanzibar? Kama ni yeye aligraduate LL.B pale UDSM mwaka mmoja na marehemu Maalim Seif na Babu Dini. [1975]!!!

..Ndiye huyo.

..aliwahi kuwa AG wa Znz.

..Jaji wa mahakama kuu ya Znz.

..Waziri wa Sheria na Katiba wa Znz.
 
Watanzania wamerudishiwa Haki ya kuchaguwa viongozi wanaowataka .
 
Back
Top Bottom