ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 631
- 1,577
Hongera ACT Wazalendo kwa ushindi japo tulikuwa hatujui kama kuna Uchaguzi.Mgombea uwakilishi jimbo la Pandani kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Prof; Omar Fakih Hamad, ameibuka mshindi baada ya kupata kura 2361 dhidi ya kura 1934 alizopata mgombea wa CCM kwenye uchaguzi mdogo katika Jimbo hilo. View attachment 1737017
Ado Shaibu ametweet sana asubuhi kuhusu hiloHongea ACT Wazalendo kwa ushindi japo tulikuwa hatujui kama kuna Uchaguzi.
Ujifunze hata kuandika basi kabla ya kushindana na huyo Mbowe.Mbowe hamini
Sawa bakitaUjifunze hata kuandika basi kabla ya kushindana na huyo Mbowe.
haha matokeo yangebadilishwa juu juuDaahh, angakuwepo jiwe huo ushindi usingetangazwa
Angekuweo meko nani angethubutu kutangaza matokeo haya, yani yangepinduliwa na mgombea wa ccm angetangazwa mshindi!Daahh, angakuwepo jiwe huo ushindi usingetangazwa
Sasa msianze kuwaloga wabunge wa CCM ili pawepo uchaguzi mdogo!Kweli Magu kafa!
Hahaha. Braza yaelekea hujui siasa za Afrika au CCM inapokuja suala la Uchaguzi, pia yaelekea you're too optimistic. Ccm ni ile ile, Mama atapanga Team yake ya uchaguzi wa 2025. Na atatumia nguvu za dola kubaki madarakani.One positive side ya mama Samia ni kuchukia hizi dhuruma za dhahiri na bila shaka hatokubali kuencourage uporaji kwenye uchaguzi. Huyu ni muumini mzuri wa imani yake
Kimsingi alishawahi kusikika akisema alijoin politics ili “akawasute” wanaCCM waliokuwa wanapiga porojo tu bungeni