Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Well saidKiasi washinde ,maana Juma Duni au Bob Juma alikuwa akizunguka na kutazama kila kona kuliko usalama wa taifa. Yaani ile nafasi ya usimamizi na ulinzi wa eneo nao pia aliivaa ,ukipita katika anga zake anakuuliza unaenda wapi,halafu tusisahau CCM haijawahi kushinda Pemba,hawaitaki hata kuiona na ukiongezea kupotea kwa mashee wa uamsho ndio kabisa.
Vipi Kigoma mtashiriki?Tumeshauzika Ubabe sasa HAKI italamaki Mshindi atangazwe
Michakato ya kugombea, alitoswa akaambiwa sio raia wa TanzaniaMkuu fafanua hapo sjaelewa mwamba aliyewavusha 2015 leo s raia? CCM Haina rafk wa kudumu
Kuna watu wanaomboleza hadi wanakufuru.Muumba fundi anakusudi lake tuyapokee maisha yasonge.
Unaweza kutueleza sababu Jokakuu? Alikuwa mtu wako wa karibu?
..hakuwa mtu wangu wa karibu.
..ila nilianza kumfuatilia wakati wa Bunge Maalum la Katiba.
..baada ya hapo nikagundua mchango wake mkubwa ktk harakati za demokrasia na siasa za Znz.
..kabla ya uchaguzi wa 2020 nilitamani Cdm na Act washirikiane, Aboubakar Khamis Bakari awe mgombea mwenza wa Tundu Lissu.
..Kifo chake kimenisikitisha sana.
NB.
..Mh.Aboubakar alituchekesha wengi alipompiga dongo Mh.Ole Sendeka wakati wa bunge maalum la katiba.
Huyu bwana ndiye wakati fulani alikuwa Attoney General wa Zanzibar? Kama ni yeye aligraduate LL.B pale UDSM mwaka mmoja na marehemu Maalim Seif na Babu Dini. [1975]!!!