Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari.
Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi.
Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru wake.
Askari wa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa chama tawala CCM waliuawa katika kadhia hiyo lakini kwa sasa amani imerejea na hali ni shwari.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
APDATES
Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”
Huyu jamaa kwa domo kajaaliwa kuipaka mafuta serikali kwa wahisani. Lakini kwenye swala la utendaji kazi katika wizara hiyo hatomfikia Mh Mahiga hata kwa robo yake. Lkn kwa propaganda zake tu hapo kajaaliwa[emoji3]
Nimemuona katika kipindi cha Focus on Africa akihojiwa na Peter Okoche; the guy seems to be an incorrigible liar! Alipoulizwa kuhusu magazeti na vituo vya radio kufungiwa alikana na kudai kuwa ni gazeti moja tu, The Citizen ndiyo iliyopata kufungiwa; tena kwa wiki moja! Kwa hiyo kulingana na waziri wetu Mseto, Mwanahalisi, Mawio, nk yamejifungia yenyewe! Incredible.
Nimemuona katika kipindi cha Focus on Africa akihojiwa na Peter Okoche; the guy seems to be an incorrigible liar! Alipoulizwa kuhusu magazeti na vituo vya radio kufungiwa alikana na kudai kuwa ni gazeti moja tu, The Citizen ndiyo iliyopata kufungiwa; tena kwa wiki moja! Kwa hiyo kulingana na waziri wetu Mseto, Mwanahalisi, Mawio, nk yamejifungia yenyewe!
Unapomsoma na kumsikiliza Prof. Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi.
unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi

OMG Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”. How did Palamagamba know that Azory is dead? @CPJAfrica Amnestyhttps://t.co/EjCrH98MuI