Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

" when you refer to Rufiji, Azory Gwand is not the only person who has disappeared and died",prof.Kabud. Prof. kaongea ukweli mchungu, leo tumesahau kuwa Rufiji kuna watanzania wenzetu wengine ni askari na viongozi wa serikali wakiuawa kikatili na bila sababu ya yeyote lakini vifo vyao vinaonekana havina maana.

hapo Prof. Kamaanisha kuwa kama vifo vya hao wengine vilivyotokea huko rufiji basi cha Azory kitakuwa kimetokea katika mazingira hayohayo kwa sababu vinahusiana
 
unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
So what are trying to tells us eeh?
Hatuna uwelevu kama wako
Wewe ama?
 
OMG Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”. How did Palamagamba know that Azory is dead? @CPJAfrica Amnesty https://t.co/EjCrH98MuI



Pole Familia ya Azory, Pole ya Kupoteza . Hello Azory Gwanda pumzika kwa Amani, upate raha ya milele. Mawazo yako yataendelea kuishi Milele!
 
Back
Top Bottom