pumbavuunapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pumbavuunapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
MOTHERF*****! TENA AISEEE... TUMEFIKAJE HAPA!!
Dah!Nimeona BBC FOCUS ON AFRICA amesema Azory Disappeared and Died, nimeumia sana
Marahaba,usitutoe kwenye mada,Tunasikilizia habari za Azory na profesaNimesikiliza mahojiano yote. Hajasema Azory ameuawa, ametumia utetezi ambao si mgeni toka matukio hayo yatokee.
Wengi mnaopiga kelele na kumbeza Prof Kabudi mngewekwa kwenye nafasi yake mngeongea hivyo hivyo. Wengine kwenye taasisi zenu huko ni waoga na waunga mkono juhudi wakubwa lakini ukishaingia kwenye fake ID ndio unajifanya kushangaa wengine.
Nimeangalia video yote wala haina mjadala mpya. Alafu tukumbushane uchaguzi wa serikali za mitaa unanukia, jamaa zetu wapo wapo tu alafu baadae watalia na wizi wa kura.
Muongo huyu, waziri hajasema hivyo isikilize habari yote ya mahojiano hapa, sijajua kwanini watu hupenda uwongo nchi hii...Nimesoma kichwa cha thread, nikasema kama kapotea, Waziri atajuaje kwamba kafariki?
Nikasema ngoja nisikilize clip nimsikie Waziri.
Nimemsikia Waziri anachemka kama kawaida yake, kakosea jina, anataja Azory Rwanda.
Naona Rwanda imemkaa sana kichwani.
Lakini sijasikia Waziri akisema lolote kuhusu kifo.
Mtoa mada anaweza kutupa uhakikisho kwamba hiyo habari ya kifo kusemwa na Waziri ni ya kweli na si ya kutungwa tu?
Marahaba,usitutoe kwenye mada,Tunasikilizia habari za Azory na profesa
Muongo huyu, waziri hajasema hivyo isikilize habari yote ya mahojiano hapa, sijajua kwanini watu hupenda uwongo nchi hii...
Si kweli aisee nimeisikiliza na kutizama amesema watu wamepotea na kufa wala hajamrejea Azori pekee, amewarejea watu wengi waliokutwa na maswaibu kule kibiti na rufiji...
Kuna watu wanacheza na akili za watanzania kwa kuquote kisentesi kimoja kuibua taharuki
Amesema kati ya waliokufa mmoja wao ni ndugu Azory
Nadhani kiingereza bado ni lugha ngumu kwetu kama si hivyo mnapotosha makusudi. Hakuna sentensi ambayo waziri amesema azory amekufa. Mwandishi amemuuliza yupo wapi azory Gwanda? Waziri amejibu kiujumla kwamba, MKIRU ni moja kati ya matukio mabaya ambayo nchi iliipata toka tumepata uhuru, viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa CCM, na polisi waliuwawa. Serikali inafanya jitihada kuzuia matukio kama hayo kuendelea maeneo mengine nchini.
Japo najua pro kabudi hapendwi na baadhi ya watanzania, il kwasasa nchi imepata FM bora kabisa kuwahi kutokea
The irreplaceable
Toa upuuzi wako na kingereza chako kibovu hapagreat man in writting our nation history and in telling the world how Tanzania peaceful is
Kwa mawazo yako unadhani Azory yupo hai? Ila mambo mengine ni km kujitakia tu. Yaan mla kitimoto unaenda Somalia kuwafanyia uchunguzi Alshabaab? Af utoke salama kweli? DaahKabudi amesema kua azory amepotea na kufa kwahiyo ukweli umefichuka clip yake akijibu hilo swali iko hewani
Unajaribu kulazimisha hisia zako ziwe maneno ya MTU mwingine....Basi lugha inakushinda unasikiliza lakini huelewi basi nakuwekea kwa kwa kiswahili halafu tafuta link
View attachment 1150955
Nenda post namba 28 kasikilize vizuri video hiyo!Shubamit
Hope, you'll recover soonThanks,my English is in ICU lately!