Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Nimemsikiliza mara mbili ili nione kama ni tatizo la grammar lakini bado nasikia .... not the only who disappeared and died sijui ni tatizo gani lakini nadhani binadamu wote tunatakiwa tusijue saaana! Sijui kama ana uhakika huo au ni tatizo la kuonyesha hawezi kushindwa swali na akajikuta anashindwa kuchagua maneno. Kutoonekana huwa siyo uthibitisho wa kifo, hata kama ni ajali ya meli kama MV Bukoba, tusiowaona tunasema kadhaa hawakupatikana. Kwa maneno yake anao ushuhuda wa kifo hiki kweli?

Namuangalia tena usoni; ni ushujaa ajabu. Lakini hii naiona kwa wanasheria wengi wanapokuwa wanahojiwa. Kila wakati wanakuwa tayari ku-counter badala ya kulegeza mambo ili iwape nafasi ya kufikiri. Ni hivyo kwa Lissu, akina Fatuma, Mwakyembe, ... ni tatizo.

Waandishi wa habari pia wana matatizo. Kwa Tanzania wao wanatafuta mwandishi mwenzao tu! Hata kama ni siku ya uhuru wa habari, suala hilo la watu kupotea siyo waandishi tu. Yaani kila taaluma inahangaika kujitetea yeneywe tu na kusahau jamii. Wanasheria nao hawataki wenzao waguswe. Hii inatunyima nafasi ya uungwana!
Angesema "disappeared or died" wangeweza kumtetea.

Tatizo kasema "disappeared and died".

Angekuwa mtu wa kitaa tu, tungeweza kusema Kiingereza cha Tanzania mgogoro labda mtu alitaka kusema "disapeared or died" akasema "disappeared and died".

Lakini huyu tunaambiwa ni Kipanga aliyepata first class ya nadra sana katika Shahada ya Sheria UDSM!
 
unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
Ni kweli kumuelewe mtu aliyeokotwa jalalani na mtu aliyelelewa kwenye maisha ya kawaida kama Mbowe na Sugu ni rahisi kuwaelewa, lakini wa jalalani siyo rahisi kumuelewa hata uwe na PhD labda uwe na phd ya mirembe ndiyo utamuelewa
 
Umesikia hivyo tu?
Itendee haki nafsi yako ndugu mtanzania, upotoshaji hautosaidia taifa hili bali kujaza chuki zisizo sababu..
Ukisha jilisha upepo Wa aina hii kisha unarejeshaje maisha ya hao watu waliopotea na kufa mkiru?

Una tatizo mahali mzee halafu lugha aliyotumia nyepesi mno kiranga kasikia kaelewa post #116 sikiliza kuanzia sekunde ya 17

Kasema "disappeared and died".

A lot of questions on this...... https://t.co/nx76IfyETE
 
Aangesema "disappeared or died" wangeweza kumtetea.

Tatizo kasema "disappeared and died".

Aangekuwa mtu wa kitaa tu, tungeweza kusema Kiingereza cha Tanzania mgogoro labda mtu alitaka kusema "disapeared or died" akasema "disappeared and died".

Lakini huyu tunaambiwa ni Kipanga aliyepata first class ya nadra sana katika Shahada ya Sheria UDSM!
Hiyo "and" ndo maana nimeweka mstari. Nadhani Waziri huyu hana utulivu ktk mazungumzo yake. Namkumbuka tangu siku ya go, bungeni. Bila kujali ugeni wake akiwa waziri aligeuza bunge kuwa darasa la sheria. Kila wakati anataka kueleza anachokifahamu yeye badala ya mahitaji ya wasikilizaji ni tatizo!
 
Alichemka akasema "when the president was the president, and the law was the law".

Implying that, currently we have neither a president nor law!

Ironically, while he was supposed to be the minister of justice.
 
Holy cow,looks like he's inside knowledge of what happened to Azory.
Unconscious mind led him to admission.
 
hao wanataka kulinganisha akili za profesa na yule mwanasheria mropokaji bila ushahidi imekula kwao. huyo ndio Kabudi , sumu ya siasa za utapeli Tanzania
Hawa maprofesa wa kukariri wafaulu mtihani? Wanapatikana Tanzania tu, na awamu ya 5 hata wewe ukitaka kupata hiyo PhD utapata Bashite vijana wenzake walimstukia pale Mzumbe ilikuwa ajipatie masters kuna mtu alikuwa anamfanyia yeye anapenda kila wiki vijana wakamwafa sumo itabidi aache
 
Alichemka akasema "when the president was the president, and the law was the law".

Implying that, currently we have neither a president nor law!

Ironically, while he was supposed to be the minister of justice.
Tunakosea sana namna ya kuchagua wanasiasa wetu. Watu wanakuwa na matumaini makubwa sana na hasa wakisikia Profesa! Bahati mbaya sana wnegi ni wa aina hiyo. Nakumbuka hata Tibaijuka aliingia kwa mtindo huo wa kuanza kufundisha watu juu ya mambo ya ardhi, then PM, Pinda alionekana kuwa bored.

There was this, Muhongo, terrible encounters na wenzake.

Mambo yao ya taaluma wanayajua, tatizo utulivu na hekima ni shida!!
 
Tatizo ni kwamba, mtu mapepe kama huyu ndiye anaonekana anafaa.

Kiasi kwamba anatolewa mtu makini kama Dr. Mahiga, anawekwa huyu ambaye hata kusema tu ni majanga.

Dr. Mahiga sikumsikia kuchemka hivi.
 
Hawa maprofesa wa kukariri wafaulu mtihani? Wanapatikana Tanzania tu, na awamu ya 5 hata wewe ukitaka kupata hiyo PhD utapata Bashite vijana wenzake walimstukia pale Mzumbe ilikuwa ajipatie masters kuna mtu alikuwa anamfanyia yeye anapenda kila wiki vijana wakamwafa sumo itabidi aache
Unakosea kusema hawa maprofesa, sema hawa maprofesa wanasiasa. Ukiwaangalia unaowalaani, kweli ni maprofesa. Mambo ya taaluma wanayajua. Tatizo liko kwenye busara na ktk mahitaji ya jamii.

Kuna jambo umekosea sana! Kwa nini hutaji jina la mtu wa Mzumbe aliyekuwa anamfanyia mtu Masters? Taja ili tabia hizi zikome. Mzumbe nimekuwa nikiisikia sana! Akina Kamara na Nchimbi nao walipoandikwa na Msemakweli walikimbilia Mzumbe. Ilikuwa ni rahisi kwao kusajili UD maana walikuwa na ofisi Dar. Kwa nini Mzumbe???
 
Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”.

Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari.

Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi.

Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru wake.

Askari wa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa chama tawala CCM waliuawa katika kadhia hiyo lakini kwa sasa amani imerejea na hali ni shwari.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

UPDATES;

WAZIRI wa Mambo ya ndani Palamagamba Kabudi akiri mwandishi wa Habari Azory Gwanda alitoweka na kufariki, ikiwa ni zaidi ya siku 500 tangu kutoweka kwa mwandishi huyo wa habari za uchunguzi.
View attachment 1150947
poor professor ever seen, better Majimarefu than him, kwanza yeye ni mtu aliyeokotwa jalalani
 
July 10, 2019
Global Media Freedom Conference on 10 and 11 July in London UK.

BBC Focus on Africa : Number of attacks on journalist rise :

Tanzania has come under criticism for muzzling the freedom of press and Prof. Palamagamba John Kabudi, the Foreign minister of Tanzania explain his views of free speech and freedom of expression

Soma:

Nimemsikia bila kumung'unya maneno kuwa Azory alipotea na kufa
 
Our nation history had long be written before we even knew this man,the world doesn't need this man to tell them how peaceful is Tanzania,it can see by itself through Embassies and media.
great man in writting our nation history and in telling the world how Tanzania peaceful is
 
Kabudi is the biggest lier on this land!

Everybody knows!

Stop sanitizing this motherfucker!

We are not kids here!
you are just like any other kiddd..! kwanza umri.wako haukuruhusu kuingia kwenye hii mijadala...
 
Tatizo ni kwamba, mtu mapepe kama huyu ndiye anaonekana anafaa.

Kiasi kwamba anatolewa mtu makini kama Dr. Mahiga, anawekwa huyu ambaye hata kusema tu ni majanga.

Dr. Mahiga sikumsikia kuchemka hivi.
Nakusoma halafu narudi kumsikiliza ili nitafute njia ya kumtetea. Hakuna njia maana hata alipoendelea, hakuweka avenue kwamba labda wanawatafuta wapatikane ili tujue alijisahau.

Mahiga au mwingine aliye na nafasi angalau ndogo ya kutojiamini hawezi kukosea kiasi hiki. Waziri wetu anajiamini saaana! Kule Bungeni huwaona kama wanafunzi wake. Hata akizomewa yeye hukomaa na mawazo yake tu kama anayehangaishwa na watoto.

Angalia tu hiyo facial expression!
 
Back
Top Bottom