Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Nakusoma halafu narudi kumsikiliza ili nitafute njia ya kumtetea. Hakuna njia maana hata alipoendelea, hakuweka avenue kwamba labda wanawatafuta wapatikane ili tujue alijisahau.

Mahiga au mwingine aliye na nafasi angalau ndogo ya kutojiamini hawezi kukosea kiasi hiki. Waziri wetu anajiamini saaana! Kule Bungeni huwaona kama wanafunzi wake. Hata akizomewa yeye hukomaa na mawazo yake tu kama anayehangaishwa na watoto.

Angalia tu hiyo facial expression!
Labda anajua kweli kwamba Azory amefariki kwa kuwa ana taarifa kutoka "watu wasiojulikana".
 
Mimacho ile hatariii. Kazi yake ni ngumu sana kutetea Serikali ni ngumu kidogo
 
Kabudi anaongea kama anakimbizwa na kapewa maneno ya kusema kwa dakika, asipofikisha anapigwa mshale!

Mpaka Azory Gwanda anamwita Azory Rwanda.

Hilo tu ni tatizo.

..haonyeshi kusikitishwa na kupotea kwa Azory Gwanda.

..yuko defensive mwanzo mwisho.

..Majibu yake yanaweza kutafsiriwa kwamba anahalalisha kupotea kwa Azory Gwanda.

..Vilevile he is impolite kwa kutokumpa nafasi mwandishi kumaliza kuuliza swali.
 
" when you refer to Rufiji, Azory Gwand is not the only person who has disappeared and died",prof.Kabud. Prof. kaongea ukweli mchungu, leo tumesahau kuwa Rufiji kuna watanzania wenzetu wengine ni askari na viongozi wa serikali wakiuawa kikatili na bila sababu ya yeyote lakini vifo vyao vinaonekana havina maana.

hapo Prof. Kamaanisha kuwa kama vifo vya hao wengine vilivyotokea huko rufiji basi cha Azory kitakuwa kimetokea katika mazingira hayohayo kwa sababu vinahusiana
Disappead and died?
Kuna polisi wali disappear?
Huu ni uongo.
 
..haonyeshi kusikitishwa na kupotea kwa Azory Gwanda.

..yuko defensive mwanzo mwisho.

..Majibu yake yanaweza kutafsiriwa kwamba anahalalisha kupotea kwa Azory Gwanda.

..Vilevile he is impolite kwa kutokumpa nafasi mwandishi kumaliza kuuliza swali.
Hiyo impolite labda anageza kwa mkuu wake wa kazi, au wanafanana.

Kna siku Magufuli alimkatiza muandishi akamwambia aende kufanya research, mpaka aibu nikaona mimi.
 
Akili zemu nyepesi sana..
Mnangangania tafsiri yenu ndio iwe universal..?!

Kusema amepotea na kufa bado ni assumption sababu hakupatikana, sasa nyny vichwa panzi mshatengeneza script..
Hivi dereva wa kirikuu ana elimu ya kiwango gani?
 
We babu umeisikiliza mwenyewe hiyo habari au umeona kipande cha video tu?


Ahsante kwa clip...

Kwanza je ni kweli gazeti lililofungiwa ni moja tu?? Really?

Kuhusu Azori... hii sentensi "Talking about Kibiti, Its a not only Azori who disappeared and died...." we binafsi umeielewaje

Ahsante
 
Si kweli aisee nimeisikiliza na kutizama amesema watu wamepotea na kufa wala hajamrejea Azori pekee, amewarejea watu wengi waliokutwa na maswaibu kule kibiti na rufiji...
Kuna watu wanacheza na akili za watanzania kwa kuquote kisentesi kimoja kuibua taharuki

Sasa hapo ambacho haujaelewa nini au kiingereza kinakusumbua?
 
The guy is such a poor speaker I am not sure if this is a case of "foot in mouth disease" or a Freudian slip.

In logic "disappeared and died" and "disappeared or died" are two very different things.

It indeed appears that, at least by his words, he is saying that he knows Azory died.

The question now becomes, how does he know this?
Cc Avriel
 
unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
Sawa mtalaamu, lazima nikiri kwamba the man's ability is beyond even my understand! So, tafadhali naomba unieleweshe manake mimi sijamuelewa pale aliposema "..not only Azory Gwanda who has disappear and died"?
 
Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”.

Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari.

Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi.

Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru wake.

Askari wa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa chama tawala CCM waliuawa katika kadhia hiyo lakini kwa sasa amani imerejea na hali ni shwari.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

UPDATES;

WAZIRI wa Mambo ya ndani Palamagamba Kabudi akiri mwandishi wa Habari Azory Gwanda alitoweka na kufariki, ikiwa ni zaidi ya siku 500 tangu kutoweka kwa mwandishi huyo wa habari za uchunguzi.
View attachment 1150947
Mbona huyo sio Zuhura Yunus
 
Kwani Palamagamba ni waziri wa mambo ya ndani...?
 
Hivi kupotea kwa mwandishi ni zaidi ya kupotea kwa rai mwingine? Mbona tunasikia watu Rufiji walikufa wengi inakuweje anayeonekana ni binadamu ni Azory Gwanda pekee? Kwanini tusiwandike na wengine? Au kazidi ubinadamu zaidi ya walipoteza maisha Rufiji?
 
Alichemka akasema "when the president was the president, and the law was the law".

Implying that, currently we have neither a president nor law!

Ironically, while he was supposed to be the minister of justice.
Hata hiko cheo unachoona angetakiwa kuwemo hafai kabisa kuwemo.
Prof cant be a leader at all.
Nakumbuka ban pekee niliyopigwa hapa JF ni kumwita Prof Kibudu (nikimaanisha mawazo yake ni mfu).
Mwisho wa siku rais kaja kusema hadharani anamwita Pumbavu.

Ye mwenyewe anajua katokea 'jalalani'
 
Alichemka akasema "when the president was the president, and the law was the law".

Implying that, currently we have neither a president nor law!

Ironically, while he was supposed to be the minister of justice.
Hata hiko cheo unachoona angetakiwa kuwemo hafai kabisa kuwemo.
Prof cant be a leader at all.
Nakumbuka ban pekee niliyopigwa hapa JF ni kumwita Prof Kibudu (nikimaanisha mawazo yake ni mfu).
Mwisho wa siku rais kaja kusema hadharani anamwita Pumbavu.

Ye mwenyewe anajua katokea 'jalalani'
 
Back
Top Bottom