Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Kwa hii kusema "Azory.. died", Profesa wa "jalalani" atakuwa amelikoroga kwa kuvujisha siri.
 
maneno hayo hayawezi kutoka kwa mtu makini na guru la sheria Tanzania kwa sababu anajua kabisa yatamhukumu. Jaribu upotoshaji mwingine
Umakini kauanzalini? Huyu wa kulopoka, Mimi siokitu, wa majalalani useme umakini anautoa wapi?
 
Nimeona BBC FOCUS ON AFRICA amesema Azory Disappeared and Died, nimeumia sana
Sasa ni wakati muafaka wa vyombo kama MCT, Jukwaa LA wahariri kutangaza rasmi msiba wa Azory na kumshirikisha mke wake Kumaliza haya mambo ili familia iishi ikijuwa kuwa baba wa familia yao hayupo tena kwa tangazo la waziri Kabudi alilotoa BBC.
Nimetaja hivyo vyombo viwili kwani ndivyo hasa viko karibu na waandishi na sio wale wanaojiita UTPC ambao wanatumia matatizo ya waandishi kutafutia pesa za kutumbua kutoka kwa wahisani.
Tumeona kwa Mwangosi, mpaka wameanzisha tuzo ya MWANGOSI. Kazi yao kuu ni kupanga safu ya uongozi huko mikoani wa YES BWANA ili waweze kupiga pesa kwa kutumia umasikini wao waandishi.
 
Akili zemu nyepesi sana..
Mnangangania tafsiri yenu ndio iwe universal..?!

Kusema amepotea na kufa bado ni assumption sababu hakupatikana, sasa nyny vichwa panzi mshatengeneza script..
 
Mzee wa kujipendekeza kwa Jiwe, mpaka limekuwa lijinga.
 
IMG-20190711-WA0002.jpg

Azory Gwanda: Waziri Palamagamba awajabishwa mitandaoni Tanzania

 
Sio kwamba labda kuna sheria kama mtu haonekani kwa muda fulani anakuwa declared dead?
 
unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
Shida sio kumuelewa shida ni kumuamini, nilifundishwa na mwalimu wangu prof shivji kuwa mtu muongo usimuamini hata kama anasema ukweli
 
Back
Top Bottom