Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Wewe umesikiliza BBC ipi? Kasema Azory amepotea na alishakufa.
Swali kumbe anajua alishakufa? Lini na kazikwa wapi. Nani waliomuua?
Msiendelee 'kumlisha maneno' Mhe. Prof. Kabudi maelezo yake kwa kiingereza ni jumla na amejitahidi kuyakanusha, isitoshe ktk mahojiano yake ya kiswahili na hiyohiyo BBC amelijibu swali hilo hivyo kwa wanataka ukweli bila ushabiki wafungue:-
 
Kazae nae Mahiga wako

We kunguru haya toa tena povu[emoji3]huyo kabudi wako aliokuwa akiongea utumbo huko kwa wahisani A,k,a mabeberu kuhusu swala la Azory,sasa wanapingana na waziri Mwakyembe[emoji3]mwenye dhamana ya wizara ya habari
Walahi damu ya mtu haitamuacha mtu salama
 
hivi tanzania hakuna waandishi wenye Akili wenye uwezo wa kuhoji hili swala jamani
 
Msiendelee 'kumlisha maneno' Mhe. Prof. Kabudi maelezo yake kwa kiingereza ni jumla na amejitahidi kuyakanusha, isitoshe ktk mahojiano yake ya kiswahili na hiyohiyo BBC amelijibu swali hilo hivyo kwa wanataka ukweli bila ushabiki wafungue:-
Unasema amejitahidi kuyakanusha? Je kafanikiwa?
Ni punguani tu anaweza kukanusha kitu kilicho wazi. Afadhali angenyamaza kama hawezi kuomba radhi.
Atuonyeshe alikozikwa !
 
Prof. Kabudi is the greatest political ass-licker i've ever seen
 
wakati akikiri alisahau kuwa ataulizwa na aliyemteua ghafla akakana matamshi yake
 
Binafsi sifurahishwi na namna Prof. Kabudi anavyotumia platform ya Uwaziri kuitukuza na kuikuza University of Dar es Salaam pekee. Sote tunajua kuwa alikuwa mwalimu pale, lakini hiyo haina maana kwamba sasa kila unapokuwa kwenye podium ni kuzungumzia UDSM pekee tu badala ya kuzungumza mambo ya msingi ya kitaifa. Tunaomba msitutengenezee ka syndiket ka wahitimu wa UDSM kuongoza Taifa hili pekee.
 
Suala la Azory linasikitisha sana
 

Mbwa ya kisukuma ilimpitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…