May 8, 2020
Antananarivo, Madagascar
Video Source : millard ayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mh. Prof. Palamagamba Kabudi amepiga kuwa serikali ya Tanzania imeamua kujibagua, kujitenga na kulegalega katika kupambana na gonjwa la Covid-19.
Tanzania imetoa uongozi madhubuti ulio shupavu pia imeshiriki kikamilifu kuandaa miongozo na taratibu za kupambana na corona katika Jumuiya ya SADC amesema Prof. Kabudi.
Hii imekuja baada ya mjadala mpana wa wananchi katika mitandao kufuatia kauli za viongozi wa kanda za EAC na SADC kuona Tanzania kupitia serikali yake haitimizi wajibu wake vizuri.
Moja ya maoni ya wananchi ktk saa 24 zilizopita mitandaoni yalitawala eneo kuhusu uenyekiti wa Tanzania katika ukanda wa SADC inaonekana Tanzania haiongozi wala kushawishi bali inaburuza miguu kiasi cha nchi za SADC kuamua kufanya vikao bila ushiriki wa Tanzania mfano janga la Covid-19

EAC silent Until now, leaders from the East African Community (EAC) have remained tight-lipped about Magufuli's disingenuous behavior, which also puts the lives of their citizens in danger. Opinion: Magufuli's COVID-19 apathy is a recipe for disaster | DW | 04.05.2020
Sharing information among SADC countries to tackle coronavirus