EAC silent Until now, leaders from the East African Community (EAC) have remained tight-lipped about Magufuli's disingenuous behavior, which also puts the lives of their citizens in danger. Opinion: Magufuli's COVID-19 apathy is a recipe for disaster | DW | 04.05.2020
Sharing information among SADC countries to tackle coronavirus
We are making headlines worldwide... But what kind of headlines that we are making!? [emoji848][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]May 8, 2020
Antananarivo, Madagascar
Palamagamba Kabudi, Tanzania’s Foreign Minister holds a sample of the CovidOrganics; the plant-based “cure”, promoted by Madagascar’s President Andry Rajoelina as a remedy against the coronavirus disease (COVID-19) in Antananarivo, Madagascar May 8, 2020. REUTERS/Gertruud Van Ettinger
Hivi kabudi ukiachana na kazi yake ya ualimu pale UD alishawahi kufanya kazi nyingine ya kidiplomasia kabla kua Foreign minister?Kuna ukweli na uhalisia. Ukweli ni kwamba hatujajitenga lakini ukija kwenye uhalisia tumefanya hivyo na sio EAC na SADC tu bali na mataifa mengine nje ya Afrika, ila kama waziri mwenye dhamana ni lazima aseme hivyo.
Jr[emoji769]
Huyu ataishia kuwa kielelezo cha msomi mjinga. Kama vile Lamwai (RIP) alipoacha msamiati wa KIHIYO kumaanisha mtu aliye forge vyeti, basi msomi anayesahau usomi wake na kulamba viatu vya Bwana wake ataitwa KABUDI.May 8, 2020
Antananarivo, Madagascar
Video Source : millard ayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mh. Prof. Palamagamba Kabudi amepiga kuwa serikali ya Tanzania imeamua kujibagua, kujitenga na kulegalega katika kupambana na gonjwa la Covid-19.
Tanzania imetoa uongozi madhubuti ulio shupavu pia imeshiriki kikamilifu kuandaa miongozo na taratibu za kupambana na corona katika Jumuiya ya SADC amesema Prof. Kabudi.
Hii imekuja baada ya mjadala mpana wa wananchi katika mitandao kufuatia kauli za viongozi wa kanda za EAC na SADC kuona Tanzania kupitia serikali yake haitimizi wajibu wake vizuri.
Moja ya maoni ya wananchi ktk saa 24 zilizopita mitandaoni yalitawala eneo kuhusu uenyekiti wa Tanzania katika ukanda wa SADC inaonekana Tanzania haiongozi wala kushawishi bali inaburuza miguu kiasi cha nchi za SADC kuamua kufanya vikao bila ushiriki wa Tanzania mfano janga la Covid-19
Wenye akili timamu wote wanajua miongozo ya kupambana na coronavirus according to Tanzania ni ipi! Na kwavile miongozo hiyo haifanyika pengine popote pale zaidi ya Tanzania kwenyewe, nadhani anachojaribu kusema Kabudi ni kwamba:-Tanzania imetoa uongozi madhubuti ulio shupavu pia imeshiriki kikamilifu kuandaa miongozo na taratibu za kupambana na corona katika Jumuiya ya SADC amesema Prof. Kabudi.
And YES, ni nani anaweza kufuata miongozo ya mtu ambae baada ya mwenyewe kufahamu kwamba ni miongozo ya hovyo hovyo, akaamua kukimbia ofisi zake kuu zote na kwenda kujificha kijijini kwao!Tanzania imetoa uongozi madhubuti ulio shupavu pia imeshiriki kikamilifu kuandaa miongozo na taratibu za kupambana na corona katika Jumuiya ya SADC amesema Prof. Kabudi, lakini kwa bahati mbaya, hakuna taifa hata moja limefuata miongozo yetu labda kwavile wanaona ni ya kijinga
Umeandika kile nilichopanga kusemaKuna ukweli na uhalisia. Ukweli ni kwamba hatujajitenga lakini ukija kwenye uhalisia tumefanya hivyo na sio EAC na SADC tu bali na mataifa mengine nje ya Afrika, ila kama waziri mwenye dhamana ni lazima aseme hivyo.
Jr[emoji769]
Ndege wafananao huruka pamojaMa huyu nae ni Professa?
Yeye na boss wake ni pwaguzi na pwaguzi
Shida ya kabudi anawaza kufundisha bado.anafikiri yuo theater rooms pumbavuKuna ukweli na uhalisia. Ukweli ni kwamba hatujajitenga lakini ukija kwenye uhalisia tumefanya hivyo na sio EAC na SADC tu bali na mataifa mengine nje ya Afrika, ila kama waziri mwenye dhamana ni lazima aseme hivyo.
Jr[emoji769]