huyu chawa wa Samia ,,,,,anajifanya hajaona mauaji ya samia ..bure kabisa huyu lumumbaHuyu Lumumba huwa anaongea pumba sana.
Ni pro CCM huyo na ndo maana hajasema chochote kuhusu watoto waliochinjwa na risasi za kuulia tembo.
Samia hana tena nafasi yotote ile ya kuleta mabadiliko chanya.
Samia ni muuaji.
Sikumbuki Patrice Loch Otieno Lumumba kuwa mwandishi wa vitabu zaidi ya mwanasheria na mhamasishaji mitandaoni. Ana kaunafiki fulani. Alipopigwa risasi Tundu wakati wa utawala wa rafiki yake Magufuli, Lumumba aliishia mitini na kuufyata. Sasa, kama chawa wengine, anajitokeza kujionyesha anamjali siyo? Huyu na gwajima tofauti yao ni ndogo.Patrick Lumumba mwanasheria na mwandishi wa vitabu kutoka Kenya, amesema hatua muhimu zaidi inayotakiwa ni kuachiwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na tuhuma za uhaini.
Akizungumza na Diamond TV ya Zambia, Lumumba amesema hatua za awali alizoziona kutoka kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu ikiwamo kumuelekeza Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwafutia mashtaka vijana mbalimbali waliokamatwa kutokana na maandamano yaliyoambatana na vurugu 29 Oktoba ni dalili za mabadiliko chanya.
"Ningependa kuona jambo kubwa zaidi…ningependa kuona Tundu Lissu akiachiwa," amesema akisisitiza kuwa kuachiwa kwake kutafungua njia ya maridhiano ya kitaifa.
Lumumba ameongeza kuwa Rais Samia ana nafasi ya kihistoria kurejesha imani ya wananchi kwa kuanzisha mchakato mpana wa maridhiano ikiwamo kuwaachia huru wote waliokamatwa kutokana na sababu za kisiasa, kuunda tume huru ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi ikiwezekana kwa kushirikisha wataalamu kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, kuitisha mkutano wa kitaifa utakaojumuisha vyama vyote vya siasa, asasi za kiraia, viongozi wa dini na wadau wengine muhimu kuzungumzia hatima na mustakabali wa taifa.
Anaongea kuchiwa kwa Lissu ili kuwepo maridhiano sijui hii Kaitoa wapi?Huyu Lumumba huwa anaongea pumba sana.
Ni pro CCM huyo na ndo maana hajasema chochote kuhusu watoto waliochinjwa na risasi za kuulia tembo.
Samia hana tena nafasi yoyote ile ya kuleta mabadiliko chanya.
Samia ni muuaji.
Huyu Lumumba huwa anaongea pumba sana.
Ni pro CCM huyo na ndo maana hajasema chochote kuhusu watoto waliochinjwa na risasi za kuulia tembo.
Samia hana tena nafasi yoyote ile ya kuleta mabadiliko chanya.
Samia ni muuaji.
Alisema nini? Kwamba Samia awajibishwe?Alishasema kwenye Podcast zake za Nyuma. Fuatilia