Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wazee wanashangaa, Vijana wanachekeleaSawa
ndio alikua anawafundisha hicho jana ?🐒Sichangii chochote angalia mwenyewe
"Kasi ya ubinafsishaji/ugenishaji wa rasilimali za taifa inatisha. Ubinafsishaji kiholela ni ufujaji wa mali ya umma= uwizi wa jasho la wazalishaji.Tujifunze kutoka historia.Hakuna nchi inayoweza kuleta maendeleo halisi ya waliowengi bila kuthibiti njia nyeti za uchumi wake"
Kauli Prof. Shivji baada ya Serikali kukabidhi Shirika la la Umma la Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART) kwa kampuni ya Dubai kwa ajili ya kuendesha shirika hilo.
Pia soma
- Kampuni Kutoka Dubai Yashinda Zabuni ya Kuendesha Mwendokasi
Umekata tamaa , au unawaamini viongozi wa ccm wanavyoiba hela na kukupiga fix ?iyo miradi tuliimiliki sisi wenyewe tukaivuruga kwa hulka zetu mbaya za kitanzania za wizi,uzembe na upigaji.
kwa mfano professor yeye alitaka nini kifanyike mbadala wa kubinafsisha?
Chawa ana kawaida ya kutokuelewandio alikua anawafundisha hicho jana ?🐒
mmeelewa kweli huwa anajaribu kuzungumza kwa hisia kana kwamba ana uchunguuu🐒
kumbe mwoga tu 🐒
wewe nae ni walewale tu.Sabodo aliwapa fedha mjenge ofisi mkazipiga wewe na wenzio.Umekata tamaa , au unawaamini viongozi wa ccm wanavyoiba hela na kukupiga fix ?
kwahiyo mko pamoja mneelewana 🐒Chawa ana kawaida ya kutokuelewa
Aliyeusimamia huo wizi ni nani? Na walioiba walichukuliwa hatua gani? Ulitaka Proffesor achukue bunduki awapige risasi hao wezi? Jitambue Mkuu. Badilika. 2025 usifanye makosa!!!iyo miradi tuliimiliki sisi wenyewe tukaivuruga kwa hulka zetu mbaya za kitanzania za wizi,uzembe na upigaji.
kwa mfano professor yeye alitaka nini kifanyike mbadala wa kubinafsisha?
Duh!Wasomi kama hawa hamna walichosaidia kwenye hii nchi kazi yao ni kukatisha tamaa juhudi za kuleta maendeleo. Wasomi wa aina hii hawatufai hata kidogo
Umenena ukweli.Wasomi kama hawa hamna walichosaidia kwenye hii nchi kazi yao ni kukatisha tamaa juhudi za kuleta maendeleo. Wasomi wa aina hii hawatufai hata kidogo