LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 532
Huyu Prof ukimwangalia kwa makini kwenye Mhadhara wa Katiba katika ITV leo anaonekana kuwatetea Wazanzibari badala ya ku-balance mambo:
Anadai kwamba eti kuongeza mambo ya Muungano, Wazanzibari waliokuwa kwenye kuongeza mambo ya Muungano "walikuwa hawaongei sana," na Karume alikuwa hajali! Sasa kama walikuwa hawasemi sana, mimi sioni tatizo, si wamekubaliana?
Hapa Prof Simwelewi kabisa, ni kama katumwa vile!
Prof. Shivji Sio Mzanzibari Amezaliwa Morogoro; aliteuliwa tu na Mwl. Nyerere kufanya kazi Zanzibar Mahakama Kuu ndipo alipokutana na Haroub Othman
Yeye ni mtu wa Bara... hana Uzanzibari!!!
Kama Wazanzibari walikaa kimya wakati Mambo ya Muungano yanaongezwa Bungeni, kinachomuuma Prof ni nini hapo?Pr. Shivji anazungumzia ukweli(hali halisi ilivyokuwa hapo mwanzo),tatizo lako laweza kiwa ulitaka ayazungumze Yale uliyoyatarajia ktk fikra zako.
Sijauliza Prof Shivji kazaliwa wapi, nielewe tafadhali! Remember, Wazanzibari hawaukatai Muungano bali wanakataa Makanisa, keep that in mind, ndio utanielewa namaanisha nini.
ulitegemea upate sapoti kubwa na mawazo yako mgando, kumbe wapo japo wachache wenye kusimama katika ukweli, sipati picha sura yako ulipoiweka mnafiki mkubwa weweHuyu Prof ukimwangalia kwa makini kwenye Mhadhara wa Katiba katika ITV leo anaonekana kuwatetea Wazanzibari badala ya ku-balance mambo:
Anadai kwamba eti kuongeza mambo ya Muungano, Wazanzibari waliokuwa kwenye kuongeza mambo ya Muungano "walikuwa hawaongei sana," na Karume alikuwa hajali! Sasa kama walikuwa hawasemi sana, mimi sioni tatizo, si wamekubaliana?
Hapa Prof Simwelewi kabisa, ni kama katumwa vile!
Sasa wewe ulikuwa unataka aongope kama ilivyo kawaida ya Magamba.Profesa ni mwana zuoni aliyebobea atakiwi kuwa longolongo kama Dr Wenu wa Uchumi ambaye anailetea nchii hii Umasikini mpaka MSD inaishiwa ata dawa za Malaria.Shivji anakuambia kuwa ameongea na ata Abdu Jumbe juu ya katiba ya Zanzibar baada ya mapinduzi ya kina Okelo,So anajua mengi na alikuwepo toka ASP na TANU azijaungana na wakati huo alikuwa tayari Mwalimu Cho kikuu cha Dsm. Na anakumbuka ata jinsi CCM ilivyokuwa inaitwa Chai na Maharage na madereva wa Maroli pale Ubungo. sasa wewe unatakaje ndugu ulieanzisha huu uzi? Ebu tujuze mkuu
Kama Wazanzibari walikaa kimya wakati Mambo ya Muungano yanaongezwa Bungeni, kinachomuuma Prof ni nini hapo?
ulitegemea upate sapoti kubwa na mawazo yako mgando, kumbe wapo japo wachache wenye kusimama katika ukweli, sipati picha sura yako ulipoiweka mnafiki mkubwa wewe
Hii dhambi ya udini itakumaliza na wazanzibar wenzio.
Anazungumzia kile kilichotokea(historia)iliyozua yote haya.Inabidi tukushangae wewe kumshambulia Prf Shivji kuwa( katumwa/kinachomuuma ni nini)kisa tu kauwakilisha uhalisia.
Sijauliza Prof Shivji kazaliwa wapi, nielewe tafadhali! Remember, Wazanzibari hawaukatai Muungano bali wanakataa Makanisa, keep that in mind, ndio utanielewa namaanisha nini.
Prof anajenga hoja kwamba Wazanzibari walionewa katika kuongeza mambo 11 ya Muungano, which is purely wrong, sio uhalisia kama unavyotaka tuamini!!!!
we acha tu...mzee wa watu ameelezea mambo vizuri kabisa lakini watu kumbe hata kusikiliza huwa wanakurupuka...!Jaribu kuwa unafuatilia habari sio unakurupuka tu kulalamika bila data wala facts za kutosha leo ni mara ya tatu Prof Shivji, kuongea mambo ya katiba ITV wiki moja kabla ya leo Prof Shivji, alisema kipindi kijacho taongea kuhusu katiba ya Zanzibar na Muungano kabla hata fujo za Zanzibar hazijatokea...wewe unadhani Prof Shivji, kaongea leo baada ya sakata la Zanzibar, tuambie katumwa na nani?
Sijauliza Prof Shivji kazaliwa wapi, nielewe tafadhali! Remember, Wazanzibari hawaukatai Muungano bali wanakataa Makanisa, keep that in mind, ndio utanielewa namaanisha nini.