Reasoning yako ni nzuri ila conclusion yako inaonysha kama reasoning umesaidiwa. Prof. Kawaeleza Watanzania historia ya muungano na maoni yake ya wakati muungano unaundwa kama mtafiti.
Hivi wewe kila msomi wa tanzania n Historia yake unaiamini?Bongo hatuna standards zinzozingatiwa na kuaminika hata na wanazozisimamia.TBS wenyewe hawaaminiki hata na wafanya biashara wa nje na hata wawekezaji wanaotaka peleka vitu vyao nje kwani wao hutumia ISO na nyingine.Sabau ya msingi kuwa TBS inaangalia final product lakini quality control and assessment inaanzia ktk initial stage za production hadi ktk product, na mara nyingi hadi ktk raw material.Uliza wauza asali wakibongo na asali zao zenye sumu za mimea na soko la ulaya.
Professor Shivji, na a bunch of intelctuals wa kibongo, + wa REDET ni mazao ya siasa za zilizochanganyika na ukomunisty,mashariki ya kati na siasa za mtazamo wa kimapinduzi.Kazi zao ni manipulation kwa faida za mitazamo yao, na upande fulani.wametumia utaalamu wao na support ya makundi fulani kuibuka km waliobobea na baadaye kukabidhiwa vizazi vya wasomi waliopitia UDSM ili kubrainwash kadir iwezekananvyo, ndio maana ni vigumu Lissu na hata ma judge, madr. etc waliokuwa wanafunzi wake waliwekwa mizizi ya kufikiri km yeye, na hivyo hawawezi mshinda prof kwa kutumia mfumo wa kifikra ulioasisiwa na prof mwenyewe...So sasa ana piga free ride.
Unashangaa nikuambiacho ,utashangaa zaidi kumsikia mnyika anavyokwenda na mwanasheria mkuu bungeni hadi mabadiliko husika yanakubaliwa na Mnyika hana elimu ya darsani kama ya huyu jamaa.Sababu ni kwamba mnyika hakubaatika kuwa corrupted na fikra zao kwa hivyo ana addtional angle ya kuangalia tafsiri zao uku akiwa na freedom ya kutumia ubongo.In contrary wabunge na makda wa CCm hawaoni tofauti kwa vile wamekuwa programmed kufikiri kwa namna hiyo na kutotakiwa fikiri kwani chama kinaelewa kufikiri vyema zaidi kupitia mwenyekiti.
Bongo kuna version za historia za kila kiongozi na watu wake, wale wazee wa Yanga wana historia zao ktk ukombozi wa nchi na club yao kupitia michezo na wana command respect and recongition(unabisha muulize Mengi),Kuna wazee wa dar wan heroes/heroins wao na ndio wanabariki CCM kila mwaka ktk mkutano wa wazee.Na historia zao Si hizi tunazozisoma kuhusu baba wa Taifa na Simba wa nyika.Then kuna sijui akina Kombo, kuna kizazi ch akina Sykes,babu etc wan version yao, ya kila kitu hadi kuwa na Nchi,bado hujapita mikoani ukakuta wasisi wa TANU huko..wana version zao.Kuna version za Dini.Ukristu una zake, uislam una version zake zake za historia(Na wanadai share zao katika uhuru).
Cha kujiuliza Prof...ktk roho zake na balance zake ni vipi atakuwa consistency pale historia na malengeo ya makundi yenye maslahi kwake yanapingana na version yake anayotaka itoa ktk public.Ama uasia wake, dini yake, au umaarufu binafsi.
Na pia ujue kuna rubbish nyingi ktk historia tusomazo shule kuanzia shule za msingi hadi vyuo.Kwani imeandikwa si kwa misingi ya historia bali kutokana na kulinda mslahi ya mud amrefu ya matabaka fulani.Historia ikipingana na haya makunid inaitwa ya uogo.