Anasema yeye ni mtetezi wa wanyongeHasira za kukosa uteuzi. Kule Zanzibar kuna waliokosa ulaji nao wanampinga Mwinyi asilete wawekezaji.
Yajayo YANAHUZUNISHA!.
Yupo sahihi kabisaNamsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.
1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.
2. Tujadili nao mustakabali wao.
Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Shivji anasubiri uteuzi wa kitu gani? hii nchi hatutaki watu washauri?Profesa Shivji ni nani hapa nchini? Hatumjui; ni mmasai wa pale musikiti wa Nanja? Au ni uko wa Laizer wa mawe?
Huja Jenga hoja Ni kubwabwaja tuProfesa Shivji ni nani hapa nchini? Hatumjui; ni mmasai wa pale musikiti wa Nanja? Au ni uko wa Laizer wa mawe?
Sikuhitaji kujenga hoja kwa hilo tapeli la kibagachori. Anaendaga na upepo.Huja Jenga hoja Ni kubwabwaja tu
Naunga mkono hojaNamsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.
1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.
2. Tujadili nao mustakabali wao.
Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Mpaka sasa sijaona MAPENDEKEZO ( Alternative).Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.
1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.
2. Tujadili nao mustakabali wao.
Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Anaongea logic sana... Jengeni hulka ya kujadili na watu mustakabali wao.Hasira za kukosa uteuzi. Kule Zanzibar kuna waliokosa ulaji nao wanampinga Mwinyi asilete wawekezaji.
Yajayo YANAHUZUNISHA!.
Prof. Anauliza haraka ya Nini ?Kwani hili suala bado ni mjadala au lipo kwenye utekelezaji?
Mwambieni huyo Prof wenu kinachoendelea huko Handeni ni kitu gani? Muulizeni tena kuwa mamlaka ya Mh Waziri Mkuu anayaona mepesi?
Na atuambie tena ni lini Prof anapata nguvu na uhalali wa kuongea bila kufanya utafiti?