Alishawahi kuteuliwa wapi na katika nini? Si kila mtu mtumwa wa teuzi, acha kumdhalilisha mwanataaluma huyu nguli. Amekuwa consistent muda wote wa maisha yake katika taalumaHasira za kukosa uteuzi. Kule Zanzibar kuna waliokosa ulaji nao wanampinga Mwinyi asilete wawekezaji.
Yajayo YANAHUZUNISHA!.
Kwani wanatolewa wamasai au watu wote wanaoishi kwenye hifadhi?
Mambo ya mwaka 1958 ndo yatuzuie kufanya kitu positive leo. Hata huko Handeni wanapopelekwa mwaka 2070 pakaonekana pana madini watatole
Ikumbukwe pia kuwa Hawa Wamasai wamesambaa maeneo mengine ya nchi. Kama yalivyo makabila mengine.Kwa uhai wa ngorongoro miaka 20 ijayo, hakuna budi wamasai kuondoka tena kwa amani kabisa, kasi yao ya kuongezeka ni kubwa alafu eneo wanaloishi haliongezeki tusisahau hilo, wakati ni sasa ili tusilaumiane baadae
Ardhi ni mali ya nani?Hasira za kukosa uteuzi. Kule Zanzibar kuna waliokosa ulaji nao wanampinga Mwinyi asilete wawekezaji.
Yajayo YANAHUZUNISHA!.
Pro Shivji ni miongoni mwa watanzania wenye asili ya asia. Kwahiyo yeye hata ardhi ikifanywa shamba la bibi na wafugaji wa Kenya hana cha kupoteza, ili mradi ashapewa chake na watafuna mirungi.Ardhi ni mali ya nani?
Je, mdhamini ana powers za kukuondoa kwenye mkopo kwa manufaa yake binafsi?
Je, mdhamini wa passpoti ya kusafiria ana weza kukwapua passipoti yako kwa matumizi yake?
Je, mdhamini kwenye mchakato wa ajira anaweza kukuondoa kazini kwa maslahi yake?
Kama hapana mbona mdhamini wa ardhi (rais) ana uwezo wa kufanya chochote kwenye ardhi bila mashauriano au ridhaa ya anayemdhamini?
ARDHI NI MALI YA NANI??
Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.
1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.
2. Tujadili nao mustakabali wao.
Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Mkuu wewe una roho ya makaburu, hata kama ni ngozi nyeusi we ni kaburu tu. Unaubaguzi wa kunuka inafaa kuogopwa kama ukoma. Iweje wa Tanzania tubaguane kwa uhindi na uafrika?Sikuhitaji kujenga hoja kwa hilo tapeli la kibagachori. Anaendaga na upepo.
Ardhi ikiwa yako na unajua ni yako huwezi kuruhusu matumizi ya ovyo kama hayo.Pro Shivji ni miongoni mwa watanzania wenye asili ya asia. Kwahiyo yeye hata ardhi ikifanywa shamba la bibi na wafugaji wa Kenya hana cha kupoteza, ili mradi ashapewa chake na watafuna mirungi.
Huko serikalini hakuna hata mmoja mwenye mawazo ya aina hii, kama yupo, ameridhika tu kupata mshahara wake wa kila mwezi.Kutokuwa na mpango wa matumizi sahihi ya ardhi kutaendelea kuligharimu taifa hili.
Matumizi ya ardhi yanavyofanyika utafikiri ardhi hii tuliyonayo inazaliana.
Baada ya wamasai kuwekwa ngorongoro serikali ilitakiwa kuwa na namna ya kucontrol population hiyo hata kuwa wanahamishwa baadhi ili kuhakikisha population haiathiri uhifadhi. Wamasai hata kama hawatahamishwa Leo lazima Kuna siku watahamishwa au ngorongoro itabadilika kuwa makazi ya kawaida ya watu na si wanyama.
Hata huku nje tulipo ardhi inazidi kuadimika lakini hakuna maono ya matumizi ya ardhi, Serikali yenyewe wanafurahi kujenga majengo mengi ya chini badala ya gorofa, hatujui ardhi ya matumizi ya msingi na muhimu tunazidi kuimaliza. Mashamba yanapungua na makazi yanaongezeka Kuna siku tutakula tofali.
Haya uliyoweka hapa yanaudhi, kama ilivyo kwa mtu mwingine kusema wenye wajomba nje ya nchi hii hawana uchungu wowote na nchi wanayoiongoza sasa zaidi ya kuwakatia mapande wajomba zao!Pro Shivji ni miongoni mwa watanzania wenye asili ya asia. Kwahiyo yeye hata ardhi ikifanywa shamba la bibi na wafugaji wa Kenya hana cha kupoteza, ili mradi ashapewa chake na watafuna mirungi.
Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.
1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.
2. Tujadili nao mustakabali wao.
Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Siwapendi watu wanaojaribu kupotosha ukweli wa Loliondo kama Prof Shivji! Ila walioweka fikra wanaiona nuru!Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.
1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.
2. Tujadili nao mustakabali wao.
Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Sikuhitaji kujenga hoja kwa hilo tapeli la kibagachori. Anaendaga na upepo.
Wewe ni mkenya, kwahiyo swala la ardhi ya Tanzania halikuhusu na hata kama likikuhusu ni kwa faida yako na mabwanyenye wako. Watu kama kina prof Shivji unaowaona wazalendo unakuta wana familia Tanzania na India, so anajua lolote likitokea Tanzania yeye anaenda zake India na kuishi sawa na raia wao wengine. So mtu wa aina hii hawezi kuwa na uchungu na chochote hata kama Tanzania nzima itavamiwa na wageni kwa faida ya nchi zao yeye ataona sawa tu maana hana cha kupoteza. Hawa wamasai wsngekuwa wana asili ya mkoa wa katikati ya Tanzania kama vile Dodoma, Morogoro nk usingesikia kelele unazosikia sasa, lkn kwa vile ni wa mpakani na kuhamishwa kwao kutaathiri mipango ya mabwanyenye ya nchi jirani ambayo yalikuwa yanatumia ardhi yetu kwa faida yao, ndo maana umeona hili swala limekuzwa kisiasa na kidiplomasia. Watu wangapi wamevunjiwa majumba yao na kuachwa bila makazi huko Kimara na kwengine, prof Shivji alikuwa wapi? Mbona hakuwasemea? Hata hivyo serikali imeshaamua, kwahiyo prof Shivji na genge lake wawashauri hao waliomtuma wahamishie mifugo yao katika nchi nyingine kama vile Uganda, Sudan, Ethiopia, Somalia nk kama wataweza kufanya hivyo.Haya uliyoweka hapa yanaudhi, kama ilivyo kwa mtu mwingine kusema wenye wajomba nje ya nchi hii hawana uchungu wowote na nchi wanayoiongoza sasa zaidi ya kuwakatia mapande wajomba zao!
Prof. Shivji anaweza kuwa anaipenda sana nchi hii na watu wanaoonewa kuliko wewe unayepigania kujaza tumbo lako.
Mbona unatabia ya kipuuzi namna hii, ya kupachika watu uraia usiowahusu kwa vile tu hawakubaliani na wewe? Sasa sisi tutajuaje kwamba wewe siyo mwarabu?Wewe ni mkenya, kwahiyo swala la ardhi ya Tanzania halikuhusu na hata kama likikuhusu ni kwa faida yako na mabwanyenye wako
Kama kawaida yako, umejichanganya sana katika uliyoandika kwenye bandiko lako hilo.je wakianza kuliwa na wanyama pori tuanze kuuwa wanyama mbugani? au tutume polisi akazuie tembo mbugani!. Wamassai watolewe na kama Professor yupo serious akakae nao kule mwezi mmoja tuone kama atapona