Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MHE. PROF. SOSPETER MUHONGO - LEO BUNGENI DODOMA AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA MADINI
Mchango wa Mbunge wa Musoma Vijijini, Mhe. Prof Sospeter Muhongo, umeambatanishwa hapa (CLIP/VIDEO kutoka Bungeni).
Mbunge huyo ameelezea umuhimu wa:
* Sekta ya Madini kuongeza mchango wake kwenye ukuaji wa uchumi wetu
* Umakini kwenye Madini mapya tunayoanza kuchimbwa, aina ya PGM na REE
* State Capitalism - Serikali iwe na migodi inayoimiliki yenyewe (100%) bila ubia.
Tafadhali msikilize Prof. Sospeter Muhongo (kiambatanisho)
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
Tarehe:
Ijumaa, 28.4.2023