Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameongelea bidhaa zinazozalishwa Mkoani Mara, na umuhimu wa ujenzi wa viwanda zaidi ya kumi (10) Mkoani humo.
Vilevile, Mbunge huyo ametoa historia ya Mradi wa Liganga (chuma) na Mchuchuma (makaa ya mawe), na kuishauri Serikali iongeze kasi ya utekelezaji wa mradi huu.