Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
LEO BUNGENI - Wizara ya Viwanda na Biashara
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameongelea bidhaa zinazozalishwa Mkoani Mara, na umuhimu wa ujenzi wa viwanda zaidi ya kumi (10) Mkoani humo.
Vilevile, Mbunge huyo ametoa historia ya Mradi wa Liganga (chuma) na Mchuchuma (makaa ya mawe), na kuishauri Serikali iongeze kasi ya utekelezaji wa mradi huu.
Tafadhali sikiliza mchango wa Prof Muhongo alioutoa Bungeni -CLIP/VIDEO imeambatanishwa hapa.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Jumanne, 21.5.2024