Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
bibi acha porojo nonsense plz, nakuheshimu sana
Kisa amesema usichokipenda kusikia?bibi acha porojo nonsense plz, nakuheshimu sana
Hiki kisiki huyu unaweza kuta ni zaidi ya deep state huyu mama hata kipindi cha Magufuli ukumfuatilia huyu yuko lank moja Migiro Mumalamula Huyu kafanya kazi UNUfalme unazidi kufitinika
wamteke na huyo wampoteze kama Polepole, tuone mwisho watabaki wangapi
ndani ya CCM wapo wengi hawapendi maovu yanayofanywa na utawala uliopo
Hiyo haiwezi kumyima haki yake ya kutoa maoni wa afrika huwa tuna pima maoni ya mtu hoja ya mtu bila kujali mabaya yake kila kwenye baya Jitahidi kungamua njema utajifunza mengiUfisadi uliowahi kufanyika na baadhi yenu huko nyuma unaweza kupelekea hali hii
Wewe ni mpumbavu wewe na yeye nani Ana porojo sasabibi acha porojo nonsense plz, nakuheshimu sana
Muheshimu Samia yatasha huyo anaipenda nchi sio chama. pampja na makosa yake huko nyuma anasimama ktk ukweli.bibi acha porojo nonsense plz, nakuheshimu sana
Just another member of the club of looters!Wakuu Kuna ukweli wowote kwenye hiyo comment ya Athumani Sarafu?View attachment 3612738
Who is the looters' member? Athumani or kheri? Pia ingependeza zaidi kama mchango wako ungeegamia kutoa elimu kuliko criticismJust another member of the club of looters!
Kheri made an empty argument. Hana hoja zaidi ya kulinda maslahi yake binafsi.Who is the looters' member? Athumani or kheri? Pia ingependeza zaidi kama mchango wako ungeegamia kutoa elimu kuliko criticism
ni kweli,Muheshimu Samia yatasha huyo anaipenda nchi sio chama. pampja na makosa yake huko nyuma anasimama ktk ukweli.
tuliza mihemko nonsense bas muerevu 🐒Wewe ni mpumbavu wewe na yeye nani Ana porojo sasa